Reaching Cow Head Saddle in Arizona's Rincon Mountains was one of those moments when the landscape completely changed. The desert was fading behind me, the air was cooler, and snow started appearing on the trail.
@raphyrodrick Huduma ya kupangilia meno unapata kwa NHIF pale Ben Mkapa, Muhimbili nadhan na bugando. Ila unapoenda kukaza ule waya sehemu nyingine kila mwezi utatoa pesa
This bro is a Medical Doctor, a Specialist. Heโs being persecuted for no reasons. Whatever went wrong with us ๐น๐ฟ needs to be addressed effective immediately. IMETOSHA!!
M/kiti Lissu anakupa pole sana kwa kufiwa na mume wako kipenzi. Tukiwa mahakamani takribani mara mbili, amesisitiza salamu zake zikufikie pamoja na pole zake kwako, watoto na ndugu zako wote.
Lissu ni mtu mwenye upendo mkubwa kwa watu na anayesimamia haki. Ninaamini kama angekuwa nje ya gereza, angefika Unguja mwenyewe kutoa pole na faraja. Kwa bahati mbaya, akiwa bado yuko gerezani, hawezi kutoka na kufika mwenyewe kukupa pole katika kipindi hiki kigumu.
Nami nikupe pole sana kwa kumpoteza mume wako mpendwa. Jipe moyo na uimarishe imani yako katika tumaini la Mungu. Mungu awape nguvu, faraja na uvumilivu wewe, watoto na familia nzima.
Letโs Love Lead, Mama! Get Lissu out of the prison walls!
@PolycarpMDM Huyu alikuwa anatafutwa kwa makosa ya kuuza dawa za kulevya. Huenda kabisa ame fake kifo chake, kwa nini kazikwa London na si Nigeria? Ipo siku yataibuka, tunza hii comment