@prolific_88 Mpenja abadilikeee, mambo ya "nyeupe" ni rubbish statments kwa football, apitie profile za wachezaji b4 hajaingia studio, inshort hajiandai anatangaza kimazoea tuu
@fintanjr_ Hawa vijana wa hovyo wa uto si ndio walimpopoa sana yule demu wa mpiga picherππ wa mnyama, bado yule priver ndio mwepesi saaana nje ya utopolo
@kasesco_tz Daaah umenikmbsha mbali, zaman nkua nkifika Kamanyola ndio natoa nauli ili nshuke pale Mugabe daah konda ananuna af ananitupia buku langu shaaaa nauli hapo dala na chenji hana asbh mida ya shuleππ
@Addy_Adams@GeorgeJob14@azamtvtz Busara tena? Suala la intellectual property rights? Mzee upo makini kwel? Ulisoma andiko makini la jemedari? Wengi walielewa baada ya andiko vp wewe,?