@Prince_Urio Nunua ampiclox sijui kama nimepatia jina vizuri yatapona kabla sijajua kama dawa ni hiyo yaliota mpaka usoni na mbaya zaidi ukilitumbua tu linahamia sehemu nyingine nyingine
@Prince_Urio hapo ansingehata litumbua angelipaka dawa ya meno liive liweke usaa alafu chukua mchicha weka maji chemsha uchemkee kabisa alafu chukua ki jani kimoja cha moto weka kwenye mdomo wake pale tulia chap linapasuka na kutoka kila kitu chake unasafisha linakauka