Mtihani wa taifa wa drs la2? Seriously? Academics mwanzo mwisho? Twawaleaje watoto wetu? Kwa nini hatuwezi kujifunza kwa nchi zinazofanikiwa sana ktk elimu wa watoto wadogo kama Japan na Finland. No Mitihani.Mahusiano, maadili, vitendo, kucheza ndio muhimu siyo mitihani ...dah!
Naona wapo wanaoshangilia maswali ya dodoso kumiliki magari na kulala Dubai anayoulizwa Heche.
Sasa mnaonaje kuwe na utaratibu Tume ya Utumishi iwe na mahojiano ya Wazi kwa Wanasiasa wote nchi hii kuhusu mali zao na biashara zao?