@JamiiForums Huyu fei sisi wana yanga hata akirudi abakie tu benchi wachezaji viburi kama hawa akiwa fisrt eleven hawakawi kujifunga magoli makusudi au kuuza mechi kwa mpinzani akipewa apige penat au faulu anapaisha juu maksud ili kuikomoa timu
@PKishamba Ni aibu sana kwa mwandishi kushindwa kuficha hisia zako ata fei alipo susa ulicheka hivi hivi hii inadhihirisha uwezo wako wa akili na kufikiri ni mdogo hauendani na kazi unayo kupa kula