@RevKishoka Kuna tofauti ya kufabricate na kuerect, nadhani hawa ni wataalamu wa kufabricate members za Silos kwa maana ya kiwanda na sio erection/construction
@Advocate_Jebra Watoto watafute vyao wasibweteke kusubiri vya urithi
Vipi usalama wa huyo mama maana huyu young useless boy asije mdhuru physically, kamshitake mama yake atashindwaje kumdhuru?
Naomba tusameheane, Nilishupaza shingo nikidhani Hatutapata rais kama JPM ila unafuu ninao anza kuupata kwa uongozi mpya naona kama vile ni ama ulikuwa mhemko wa kumpenda JPM, au mtizamo finyu juu ya Uongozi ni nini,
RETWEET IFIKIE WOTE WALIOKUWA NA MTIZAMO KAMA HUU