I didnt have a chance to go to Medicine school as was planned to. But My wish is to make a dream comes true, by being a breeder that will relie most on legumes for increase production, protect environment as well farmers and improve the income of small holder farmers in my nation
@faraja_zungu@MarekaMalili Sahihi,
Ili tuweze kupunguza matumizi holela ya sumu lazima kuwepo na elimu ya matumizi ya sumu na namna bora ya kulinda tija. Hizo sumu zote ni mkulima anajihami na kupoteza mazao na tija yake tu. Kama elimu ikitolewa vyema na udhibiti wa viwatilifu ukawekwa vizuri mabo yatbadlk
@faraja_zungu@MarekaMalili Kwamba green house inahusika vipi na kudhibiti wadudu? Vipi kuhusu usalama wa chakula- hauishii kwenye sumu tu ni hadi kwenye upatikanaji na kutosheleza mahitaji.
@DeeBrineth@Adventure_36 Upo sahihi na makini isipokuwa, tuanze na kusimamia sheria na kuziheshimu kwanza, kuwepo na utaratibu wa dereva akiona mstari hauruhusu abakie. Madereva wasipewe presha na maboss ya maelekezo wafuate sheria na vts. Hata ukijenga lane hizo bado kuna wajinga watahama sana kukimbzna