Hili Nimeshindwa Kujizuia Nimeona Niwashirikishe, Limenivuruga Sana Kiukweli!!
Recently Nimetumiwa Demo Songs 3 Na Wasanii Tofauti Wakitaka Nifanye Nao Collabo Kwenye Hizo Nyimbo Zao!!
Kilichonishtua Na Kunishangaza Ni Content Ya Nyimbo Zao 😳🥹
Nyimbo Zoote Zinaongelea #KIFO!!
Yaani Nimeshangaa Sana Kiukweli, Na Wala Hao Wasanii Watatu Hawana Ukaribu, Wala Studio Zao Hazina Ukaribu!! How Come Imekuwa Hivi?
Kiukweli Hadi Sasa Sijaingiza Vocal Wimbo Wowote Kati Ya Hizo, Naogopa Naona Kama Ni #Uchuro Na WananiMind Nachelewesha Project Zao!!
KAMA MNA CHOCHOTE CHA KUNISHAURI NDUGU ZANGU!!
"..Kua ujue tofauti ya Halisi na Batili/
Kuhakiki na kubashiri, Umaskini na utajiri/
Usafiri uone, utofauti kati ya Usafi na Ukafiri/
Kisha ujiulize uta Asi au Utasawiri/...."
#NP#KaribuDuniani#AFF@PanAuthentik
CLATOUS CHOTA CHAMA, wanaoitwa ni wengi ila Wateule ni wachache sana! Unamtazama Pastor wa Mitaa ya soka, shikeni neno lake mguuni mwake, katendeni maneno yake na hakikisheni mataifa yote yanaimba jina lake, ndani ya Madhabahu ya Mkapa vipofu wanaona, viziwi wanasikia na upako halisi ni maji ya upako yanaitwa Lusaka 17.
No need of bleach, Football is all about the pitch! Korido za Media zinajadili kuhusu Clatous Chama na Pacome, akamuita Mhudumu na kumwambia Hold my beer, the two faced Maestro muite 2Face Idibia! Haters said hakimbii ila ni football sio riadha, ya Kaisari aachiwe Kaisari ya Simbu aachiwe Simbu na ya Chama ni Football, mchezo wa akili kama Squid game.
Wahariri wa magazeti wamebadilisha script, Mkulima wa Morogoro alisema huyu ni Mchezaji bora wa muda wote ila wao Wahaya wameamua kusema “Ever present and ever dependable” kama una UTI tumia Azuma, ni ukurasa wa mamlaka kama Jacob Zuma wa Kusini, kama sio yeye ni nani? Tema mate chini.
Pichani ni Mfalme halisi wa Kariakoo, amezaliwa Ndola, Zambia! Amekulia Lusaka, Zambia! Amekomalia Misri na ameivia Msimbazi! The real King of the game miguu na akili ina ushirikiano kama MashaLove na maziwa, watu wa mikeka wanamtambua kama surebet, kama vipi waitwe BASATA hili disco lake analipiga kwa sauti ya juu sana.
Hatuzungumzii siasa tunaposema CHAMA, we are creating legacy of our own! Anaitwa Clatous Chama, anatokea Ndola na kazi yake ni kuhakikisha kila Mjukuu wa Nyerere anafurahia zinaa ya kuitwa soka, dakika 90 za Wema Sepetu uwanjani ama Zuhura wa Diamond, asanteni kwakuwa leo ni dhambi ya pamoja wakubwa kwa watoto, Magician is the wonder to witness though!
Tears in my eyes though!
VISIT MOROGORO🇹🇿
80% ya album imekamilika,nawakaribisha kwa PREORDER ya SHAIRIKA KIBISHI Album,utaratibu ni uleule Tsh 20k ila ikitoka itauzwa kwa Tsh 25k,namba za malipo:
TIGO PESA +255654600065 na M-PESA +255747828275
NICAS J.M.MACHUCHE🇹🇿
🚨🚨#Sizophumelela out now 🌏 Big S/O to the whole crew @the_kemet_tz ( @lameck_619_noel , @_real_man_fefe , @nyati._ and @alveinsy_bass_official ). Classics only 💯 do the right thing link in bio