Kuna mzee mmoja aliwahi kusema Omba hata pale usipojisikia kufanya hivyo. Kile kinachokufanya uepuke maombi ndicho hasa kinachojaribu kukuangamiza.
Hakuna mtu aliyewahi kushindwa maishani baada ya kuchagua suluhisho ambalo maombi huleta.
Wakuu jamaa kanicheki leo, yupo kwenye changamoto kubwa ya Kiuchumi, anahitaji pesa.
Anataka 4m.
Nipigie 0762344677 nikupe mawasiliano yake.
Tunaongelea SQM 4200 wazee, kama upo serious nicheki.
“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi”
Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
Hello
I hold a Bachelor's Degree in pyschology
I am actively seeking position;
✅In teaching Biology and Geography
Also offering psychological counselling services.
In addition i posses strong computer skills.
LANGUAGE; English &swahili
Wakubwa msaada tutani 🙏🏼
Tumshike mkono huyu dada yetu anatafuta kazi yoyote aweze kumudu gharama za maisha. Anapatikana Dar, Ni muaminifu, I can vouch for her.
Rt inawezekana mtoa kazi akawa kwenye TL yako 🙏🏼
Wakubwa msaada tutani 🙏🏼
Tumshike mkono huyu dada yetu anatafuta kazi yoyote aweze kumudu gharama za maisha. Anapatikana Dar, Ni muaminifu, I can vouch for her.
Rt inawezekana mtoa kazi akawa kwenye TL yako 🙏🏼
Mother's day is for the Good Women, Good Mothers, walezi, walinzi, walioona maisha yao yana lengo la kuendeleza vizazi na Jamii bora ya kesho.
Today we celebrate you, Thank you for your sacrifices, Love, and for building the Foundation of a strong family 🙏🏼