IAM SORRY MY WIFE; SITORUDIA TENA!
Ni sauti ya mume akiongea kwa msisitizo mbele ya mkewe aliyekuwa amefika mwisho wa uvumilivu wake.Licha ya kuvumilia mateso na maumivu aliyokuwa amepitia kwa muda mrefu bado mumewe alionekana kutokujali na kuzidisha visa na mikasa. Shuka nayo
Raisi wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amewataka Watumishi wa Umma kuacha kuweka picha yake kwenye ofisi zao akisema kuwa yeye sio Mungu anayetaka kusujudiwa badala yake amewataka watumishi hao kuweka picha za watoto wao maofisini mwao ili wawe wanazitazama pale wanapofanya maamuzi.
“Sitaki mbandike picha zangu kwenye ofisi zenu kwa kuwa mimi siyo Mungu na wala siyo kielelezo cha utumishi isipokuwa ni mtumishi tu kwa Taifa badala yake bandikeni picha za watoto wenu ili muwe mnazitazama wakati wa kufanya maamuzi” —— amesema Rais Faye wakati akilihutubia Taifa hilo.
NB: Kwa Tuliosoma Cuba- Wakati unafanya maamuzi ya kuharibu yanaweza kugharimu nafasi Yako, Picha za watoto wako zikunong'oneze Baba Acha huo upuuzi, unafikiri sisi tutaishije ukikamatwa Kwa hayo maamuzi Yako ya kipuuzi unayotaka kuyafanya!
#KitengeUpdates
. @Nnauye_Nape ni BOLIZOZO. Unaweza kumtisha nani sasa chini ya Jua? Kama wapo watu wanakuogopa, ni wapumbavu. Unatoa maelekezo kwa polisi kama nani? Waziri wa Habari unatoa maelekezo Wizara ya Mambo ya Ndani? Kwanza unatakiwa kuwajibika, Idara ya Habari Maelezo ipo Wizara yako.
Msemaji Mkuu wa Serikali anapatikana Wizara yako (chini ya Idara ya Habari - Maelezo), unatakiwa kushtakiwa kwa kutokutoa taarifa kwa umma, wapi alipo Makamu wa Rais. Huna uhalali wowote wa kutishia kumkamata mtu. Waziri wa Habari unaelekeza Polisi (Wizara ya Mambo ya ndani)?
Kwanza kwanini umefunga replies? Hutaki maoni eeh? Muoga sana wewe kiumbe. Unaogopa maoni ya wananchi wanaokulipa mshahara, bado unawatisha kwa kuhoji wapi alipo Makamu wao wa Rais? Sikiliza, huo mkwara wa “tutachukua hatua��� peleka bafuni, utumie. Kamata raia, tukutane mahakamani.
Brigedia Mtikila.
Bilal Saadat
Alikabidhiwa Milioni 300 na Serikali kuendesha operesheni ya utetezi wa serikali mitandaoni akaamua kutumia pesa hiyo kununua watu wamtukane Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
Kwa kifupi Mwigulu Nchemba anakaangwa kwa pesa aliyoikusanya mwenyewe.
ROHO MBAYA