@TheRealEkiswaga Mlishazoea Chaguzi za CCM mnaingia na simu kuangalia kwanza kama salio limesoma kabla ya kumpa mtu kura, "Conclave" ni kikao kitakatifu mkuu
Hii Sheria ni kandamizi na ya unyanyasaji kwa watoto wa 2000 , Mbunge Kishimba unaombwa kupeleka hoja hii Bungeni la sivyo vijana wetu wataishia magerezani
@YerickoNyerereT Yericko wahi kwa Doctors kabla ya wadudu kichwani/viral load haijakomaa,
Hivi kweli kabla ya kuposti Huwa unajipima Kama ume connect na fuvu lako?
Kwa taarifa yako Kigaila ni nyoka mbaya kuliko hata hao madalali, Kigaila ataishije ndani ya nyumba akiwa na Mmoja wa Covid bila kuichoma CDM? Kwanini FAM hajawahi kumsema Kigaila kwa mapungufu hayo? Je kwanini tusiamini kuwa Covid 19 walipitishwa na FAM kimtindo na kwa Siri Sana
@YerickoNyerereT Unamuonea buuuure @MariaSTsehai . Ccm mnao wenyewe ndani ya chama tena baadhi, wake zao ni wabunge covid 19. Kwaakili yako unaona Kigaila ni chadema😀😀😀
@Domikhalifa@MariaSTsehai Kule Shinyanga Usukuma ulimbeba, wasomi wapinzani wamejazana CCM ili watumbo yao yajae na mwisho kumbuka fedha za Abdul hazikuanza jana
Ntombi na Yericko Bora wangejificha kwenye keyboard zao kuliko kuja kichwa kichwa kwenye luninga kwani wameporomosha hadhi zao at a tremendous speed, watu tulikuwa tunafikiria ni watu wa kujenga hoja kumbe ni madalali wa matumbo yao, na iwe vyovyote vile TAL komaa nao tuko pamoja
Nakumbuka picha ya FAM akitokea mahabusu akiwa na suti Kali ndani ya Ikulu nikajiuliza mbona hakuwa anapiga suti kule mahakamani Kama vile? Niliamini Suti ilitayarishwa kabla na pia kulikuwa na mapatano siri akiwa mahabusu na ndipo niliamini kuwa Hiyo ni picha bure la DRIVE INN
@Sativa255@HecheJohn Siku mdude anakmatwa kule mbeya..
Tena anakamatwa mbele ya mwenye kiti wake..hakuna alicho sema huyu dictator mbowe.
Nika kumbuka ile stori ya kwenye bible yesu alipokua anakamatwa ishara ya kwamba nitakae mbusu ndio huyo mkamateni
Mbowe ni yuda
He will never find peace kamwe
Naona @HecheJohn kapandisha hii picha pale IG usiku huu.
Ni wazi sasa tunaongea lugha MOJA.
Hatuwezi kushindwa uchaguzi huu. Maumivu ya mchana tuyasahau, tuendelee kuamini kama tulivyoanza pamoja, tumalize pamoja.
Taifa letu sote hili. Hakuna kumzilia mtu, tutalilinda kwa WIVU MKUBWA SANA.
Repost 400 za kibabe.🫵🏾🔥
Ujinga huu kafungue Darasa upate maokoto yako na sio kwa Wana X, angalia kura za maoni zinavyokutupeni nje ya ulingo, bwana mdogo ni wakati muafaka Sasa mkaanza kuandaa makazi mapya kwani baada ya uchaguzi hamtakuwa na nafasi ndani ya CDM, CCM Wala kwa sebuleni kwa FAM
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.
Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.
Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!
Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.
Na Yericko Nyerere
Ni kipindi kama hiki cha kutetea taasisi ya Chadema ndio kipindi cha kujua watu wanafiki na wakweli, Mwanachadema unajifanya uko nyutro wakati chama ndio kinakuhitaji uonyeshe msimamo wako, kisha baada ya uchaguzi utadakia kwa pongezi na kujifanya ulikuwa upande ulioshinda. Simama onyesha msimamo wako wazi tetea chama kinaposhambuliwa na maadui, Sema wazi unamuunga mkono Mbowe au Lissu. Unafiki mwiko!
@Mwabuk2Boniface Masaa Mawili Ya HOTUBA Yakujitetea, Hotuba Isiyokua Na Uelekeo Wa Miaka Mitano Ijayo. Hotuba Isiyokua Na Sababu Ya Msingi Kwanini Nagombea Zaidi Ya Kutaka Kufikia Rekodi Ya Umri Wa Mzee MTEI. Hotuba Imejawaa HASIRA Na JEURI “Kifo Cha Mbwa Huanza Pale Anapopoteza Uwezo Wakunusa”