@CuteMaria26@Sammyawami@awamisammy Ila chama kiitwe chama ni pale kinapimwa kwa sera na ushindani wa hoja. Nakubalia na NAPE na Mwalimu Nyerere, alivyosema bila chama kupata upinzani hakiwezi kujirekebisha. CCM si chama tena. Maana katiba haitoi nafasi sawa kwa vyama. Na hii hasara kwa Wananch Wote.
@Grace_Mlowe Hata Nyerere alijengewa nyumba na Serikali...Angekuwa kama sasa angechukua milima yote ya dhahabu na Majumba ya masaki. Lakini aliishia kuishi Msasani kwa mwalimu na Butiama.
Kiongozi ni wa kweli hawezi kuiba, Maana kila akiona mtoto maskini anajiona Yeye.ila mali hatutazikwa naz
@SuluhuSamia Mungu Atusaudie, Kwa sasa mchango wa barabara kwenye ajali ni zaidi asilimia 90% maana ukifanya overtake tu, huna pa kujitetea. Uzembe ndio lakini , mtu anasafili km 900 Dar-Tunduma na mbele yake kuna loli tisa zimeongozana. SGR imesaidia sana Dodoma.
@Innocen89950594 "Shujaa hufa mara moja ila waoga hufa mara elfu moja" we are all born to die..but how do we die, Mwinyi alisema , Maisha ni barua basi , acha barua yako ije isomeke vizuri!
@HecheJohn Honest, ni ngumu kujizuia,Mungu Uliye Alfa na Omega, Usiyekaa vikao pamoja na Wanadamu, Hakika unatangaza mwisho kabla mwanzo haujatokea. Mtie Nguvu Mtumishi wako, Tundu lisu , Utusamehe dhambi zetu sisi Watanzania ,Uliponye Taifa letu. Ulisimamishe kwa mkono wa haki yako.Ameni
@HildaNewton21@Advocate_Kisabo Dalili za siku za Mwisho, Maovu yataongezeka sana, na watu watajipenda wenyewe kuliko kumpenda Mungu. Sisi sote ni wafu, Duniani Tunapita , Mambo yote ni sawa na kujilisha Upepo. Ukizani unashiba
@MtataProMax God forbid, Humble Person cares for his brother, Nyerere made this country of 122 trible by love and care. Let us not messup again, we are destroying our Country . We are son and Dughter of This Country. Let foolish not prevail to that extent.
@CuteMaria26@masoudkipanya Ukienda ulaya utagundu kila Tatizo wanalopitia Watanzania ni Tatizo la Serika. Tabia zote mbayo tumeumbiwa na viongozi waliokosa uzalenda na Upendo. MIMI naamini Mungu ni Tabia njema na Ushetani ni Tabia njema. Viongozi wetu wamechagua kuwa Mashetani kwa usaliti wa Waafrika.
@mshambuliaji So anachukua nafasi ya Tulia Ackson,au Rais wa Mkutano mmoja. Labda Kigezo cha Rais wa UPU ni kuwa Spika, au Zungu ni Raisi kwa mkutano mmoja wa 153.
Taarifa inasumbua kidogo kuielewa,
@EduTalkTz Ugonjwa wa akili in simple term ni Uwezo wa Mamuzi yako kuongozwa na hisia badala ya Logic. Hisia hazina akili, Sasa mapenzi au Dini .ni vichaka vya watu kuishi kwa hisia, wana ugonjwa wa akili ila wako kwenye ndoa. Tafuta Mwanaume mwenye akili na logic sio hisia.
@EduTalkTz Hata usalitiwe vip, Hakuna Haki ya kuua, Nawambiaga wanawake , Ukikuta mtu anasema niko tayari kufa kwa ajili yako , Usiolewe naye Maana huyo hata maisha yake yenyewe ameyapa thamani ya Mapenzi au Matamanio. Umpendaye huwezi kumuu, Ukijipenda huwezi kujiua.
@Paulmeda1 Tukipata watu kama wewe! Duniani panakuwa pazuri sana, na kila mtu kumpenda jirani yake. Kwanza Mungu hana Dini.
Watu wakimjua Mungu , Huwezi kumpenda Mungu usiyemuona, kama humpendi Jirani yako unayemuona
@ayubu_madenge Wenzetu hawana unafiki , hakuba mtu kujichotea feza za umma. Huku africa mtu analipwa milion 15 ila anachota bilion 500. So kwa ufupi..bora hata sisi tungeweka mshahara wa Rais hata bilion 1 , kwa mwaka bilion 12 na kwa miaka 5. Biloon 60. Ila tu asiibe fedha za umma.
@HecheJohn Kiukweli Jussa kazingua, Nyerere alionya, Mtu akishindwa jukwa la Siasa, atatafuta kichaka cha dini, akishindwa cha dini, atakuja cha ukabila, akishindwa cha ukabila atakuja cha ukanda. Wanasiasa mtaligawa Taifa, badala ya ajenda mnatafuta vichaka.
@chapanombombwi Siwezi kujizuia, aliua wangapi? Nitajie list ya alio waua, to me is my best president ! Than ever...miaka 5 ilisikika isssue ya Ben saa nane, Issue ya Mo na issue ya Clause FM....na issue ya kibiti.
Wakati wa Kikwete, issue ya Ulimboka, issue ya Iringa etc....
" Sisi ni wanadamu"