@Buberwa_ Sekta binafsi unachulia ile top layer ya juu kabisa ndio inakuwa wastani wa sekta binafsi?
Maana najua walimu wa sekondari sekta binafsi wanalipwa hadi 300k
@AdoShaibu Ila hizi siasa za upinzani huwa ni za kitoto na kipuuzi sana, Chadema na viongozi wao wenyewe huwa ndio mstari wa mbele kudhihaki na kukejeli watu wengine wa upinzani
@jomseti @millardayo Nafikiri wameweka zie nchi ambazo ni salama lakini Tanzania haina ubalozi (Ukiacha nchi za Africa Mashariki na nchi rafiki za Africa)
@TheChanzo anajifanya anajua technical analysis ya betting ila hajui, anavyosema Timu A ikicheza na B probability ya Win 33%, draw 33% na lose 33%% sio kweli, inategemeana na ubora wa timu A vs timu B, eg. Liverpool ikicheza na Southampton huwezi kusema outcomes zimegawanyika sawa kwa 33%
@CloudsMediaLive Vipi nyimbo za Singeli ambazo zimetangazwa kuwa alma ya taifa, zinahamasisha kudanga, kwa mpalange, kamari, kulewa nazo tulaumu watu wa nje?
@Adventure_36 Hivi kufungiwa si ni moja kwa moja? Maana kosa linloweza kuondoa uhai wa watu yafaa afungiwe moja kwa moja kama sio kushtakiwa n kufungwa