Ukijipata wakumbuke na wathamini wale waliokushika mkono na kukupa connection ya njia ya mafanikio kipindi unajitafuta. Mafanikio yasikufanye kuwa kipofu
Kuna wakina Mama ukimfanyia kitu kidogo kama kumlipia nauli kwenye daladala, atakushukuru sana na hapo hapo, atakuombea upate na gari lako binafsi
Wanatambulika kama King Makers. Hawana uwezo kifedha, ila wana uwezo mkubwa ku manifest makubwa kwenye maisha yako
Ishi nao vizuri.
"Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina nne za Akili:
1) Kiasi cha akili (IQ)
2) Kiwango cha Kihisia (EQ)
3) Kiwango cha Kijamii (SQ)
4) Kiwango cha Shida (AQ)
1. Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu. Unahitaji IQ kutatua hesabu....