Two Nations. One Dream. 🇹🇿🇪🇬
A powerful symbol of Tanzania–Egypt friendship: EgyptAir’s special flight to Dar es Salaam for the opening of the Julius Nyerere Hydropower Project.
From the Nile to the Rufiji, two nations connected by partnership, engineering and a shared vision of development.
Julius Nyerere Dam a landmark of African ambition.
Kizazi kijacho hakitatumia AI kwa ajili ya ku-chat na kufanya homework tu. Kitatumia AI kama Mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote.
Huyu mwalimu hakuchoki ukimuuliza swali hata mara 100. Hakukasirikii ukisema, “Sijaelewa.”
Hakuhukumu kwa sababu wewe ni slow learner.
Na cha kuvutia zaidi... Unaweza kumwambia... “Naomba nielekeze kama vile mtoto wa miaka 10.”
AI Hata kama hujaelewa ukasema “Nipe mfano halisi wa mazingira ya KiTanzania.”
Bado atakujibu bila kuchoka hata ukisema “Nifundishe kwa story.” Au: “Nipe quiz nijipime.”
Hii ni relationship mpya kabisa ya kujifunza.
Kwa generations zilizopita, ukitaka kuelewa kitu ulikuwa unategemea mwalimu, kitabu, darasa, YouTube, au mtu mwenye muda wa kukufundisha.
Sasa unaweza kuwa na AI inayokaa na wewe mpaka uelewe kwa style ambayo wewe unaielewa.
Nikitazama haya mabadiliko, niwe mkweli tu... Ninaona mambo makubwa sana mbeleni.
AI haitabadilisha tu tunachojifunza. Inaweza kubadilisha kabisa jinsi tunavyo jifunza.
Mtoto mmoja anaweza kutumia AI kumsaidia Mathematics. Mtu mwingine akaitumia kuwa English tutor wake.
Mwingine akaitumia kujifunza coding. Mwingine akaitumia kujifunza biashara, marketing, design au public speaking.
Na tofauti kubwa haitakuwa nani ana AI. Karibu kila mtu atakuwa nayo. (Si unaona tu sahizi kila mtu anayo kwenye simu yake)
Tofauti itakuwa... Nani anajua kuitumia vizuri kujifunza? Kwa hiyo usiiangalie AI kama tool ya kufanya kazi zako tu.
Iangalie pia kama mwalimu wako binafsi.
Kwa sababu huenda moja ya advantages kubwa za kizazi kijacho isiwe kuwa wana akili zaidi kuliko sisi.
Huenda ikawa tu kwamba... wana access kubwa zaidi ya kujifunza, saa 24 kwa siku.
Ukipata dakika 1 mbele ya tajiri…
Usimwambie maisha yako yalivyo magumu.
Usimwambie unahitaji msaada.
Mwonyeshe kitu ambacho kinaweza kuwa kikubwa kuliko dakika hiyo.
Hivi ndivyo unavyoongea na mtu mwenye pesa…
👇🏼
The Time to Invest is NOW!
Tanzania has unveiled its Special Economic Zones (SEZs), ready to host transformative projects in manufacturing, logistics, ICT, and more.
These zones offer unmatched incentives, world-class infrastructure, and a direct gateway to East African, African, and global markets
@invest_in_tanzania
Leo inazinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa.
Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) inapaswa kukua mara 13. Inawezekana, lakini katika Taifa lililo na mshikamano, lisilo na ubaguzi na lenye demokrasia. Msingi wa hayo ni HAKI.
Kazi kubwa inapaswa kufanywa kwa NIDHAMU ya hali ya juu sana kufikia shabaha hiyo. Taifa lenye jamii ya uchawa uchawa haiwezi kuwa na nidhamu ya kufikia malengo tajwa.
THREAD
Kuna challenge hapa kwa waliolipia tofali la ubingwa 2025/2026. Kuna group la WhatsApp (habari za Yanga) kwa waliolipia TOFALI kutoka pande zote TZ na ma-admin ni Ali Kamwe, Priva na Remija. Kama umeshalipia unaweza kuja DM na kunipa details zako tuhakiki halafu nitakuadd. 📌
Kuna kizazi tunaendelea kukitengeneza cha watu wanaochoshwa na upendo. Hiki ni kizazi kilichozaliwa na kizazi cha wazazi wasomi, wenye pesa, wasio na muda wa kupenda —kupatikana kihisia, kuzungumza, kusikiliza, kuhusiana, kujali na kadhalika. Tunatumia vitu kuziba ombwe la kutokupatikana.
Tunahonga watoto midoli wasiyoihitaji kufunika hatia ya kutokupatikana. Mtoto akilia, kwa mfano, tunampa kishikwambi atulie. Katuni inatumika kupotezea hitaji la mtoto kusikika na kuonekana. Tukishindwa kuzungumza na mtoto tunawasha runinga anyamaze. Tukikosa muda wa kulea tunalipia chekechea ya bweni.
Kwa ugumu na maumivu makubwa, mtoto anajifunza namna mpya ya kushughulikia mahitaji yake ya kihisia. Upweke, kupuuza hisia, kucheza na hisia za watu, ubinafsi, kukweza vitu na wenye vitu inakuwa sehemu ya mahusiano. Mtazamo huu wa maisha unaunda mwelekeo mpya wa mahusiano na watu ili kumudu uhaba mkubwa wa upendo—kupatikana kihisia, kuzungumza, kusikiliza, kuhusiana na kujali.
Matokeo yake, tukifikia umri wa mahusiano, tunachoshwa haraka uhusiano unaotudai tupende. Tunataka kupendwa lakini hatuelewi upendo maana yake nini. Tunataka kuaminiwa lakini tunamchoka haraka anayetuamini. Hatujazoea kuaminiwa. Tunataka mtu aoneshe kujali lakini tunakinai haraka kujali kukimaanisha muda kwa ajili yetu. Tunatamani kueleweka lakini tunatishwa na muunganiko wa hisia. Tumezoeshwa vitu kutumika kama mbadala wa kuhafahamiana vizuri, kuunganika kihisia na shauku ya kuwa karibu na mtu.
Tunalea kizazi ambacho ukimnyima mtu muda wako ukampa pesa anaamini unampenda, hata kama utamuondoa kabisa kwenye ratiba zako. Ukimpa mtu muda wako, usikivu, ukawekeza kwenye mahusiano, lakini usiwe na pesa mtu anaona unamchosha. Ukimnyima muunganiko wa hisia, ukampa uhakika wa ufundi wa ngono anachagua ngono hata akikosa uhakika wa mahusiano ya kudumu. Jitihada zozote za kudumisha mahusiano bila ngono inaonekana ni mzaha na ndoto za abunuwasi.
Hatutaki kuwekeza. Tunataka kupita.
Hatutaki kudumisha. Tunataka kusisimuka. Hatutaki kufahamiana. Tunataka kutumiana. Hatutaki kujipa muda. Tunataka kilicho tayari. Hatutaki gharama. Tunataka matokeo.
Hatutaki kutafuta. Tunataka vya kupewa. Hatutaki kusubiri. Tunataka ghafla.
Hatutaki uaminifu. Tunataka uhuru.
Hatutaki usisi. Tunataka umimi. Hiki ndicho kizazi kinachoishi matokeo halisi ya utoto uliotekelezwa—deprived childhood.
Mtu ametumia miaka 40 kutafuta mali, akiondoka duniani kinafuata kikao cha siku moja kugawana mali zote na sio kuziendeleza kwa miaka 40 ijayo, watoto/wajukuu nao wanajikuta wanaanza moja.huu ni utamaduni wa kudumisha umaskini#generationalWealth
Mtu (Mfanyakazi) akiandika Barua ya Kujiuzulu, imeisha hiyo, hakuna haja ya Bosi (Mwajiri) kuikubali Barua hiyo au kuridhia uamuzi wa Mfanyakazi Kujiuzulu. Akitoa tu taarifa ya Kujiuzulu, zoezi limekamilika, sio lazima Bosi aseme nimekubali.✍🏼
MD, Mendez (M.C.A)
17/06/2025