"Mambo ya pwani, guu la kushoto lavishwa cheni/ dume zima shanga kiunoni,urembo gani/
We rijali vya nini vidani, bora cheni/
Matobo mpaka puani, au we mambo swafi? hatuelezani?/"
@solothang
I love this quote:
"Never be intimidated by the success of people, The Fact That You are "HERE" Doesn't Mean You Can't Be "THERE" The Only Difference Between HERE and THERE Is "T" Which Stands For "TIME"..!!"
Be Patient and Remain FOCUSED.
"Dawa ya kicheche azae, mwenyewe atakuwa makini/
Wanabishana kuhusu Rap hawajui Rap ndo mimi/
Nipo full, kama chumba cha nahodha kwenye meli/
Nasimama na si-to-anguka kama mnara wa babeli/
#Lyrics#HipHop#Rap#HipHop4Life
Kwamfano nakuita mpenzi/ na tabasamu zuri wakati najua kuwa sikupendi/ Kuitoa hii siri ndo siwezi/ Kwahiyo nitakudanganya mpaka ifike siku niutimize ushenzi/"
#Hatia||
@dizastavina
"Waza kwanza, kabla ya kuvua sketi au kabla ya kulala chali/ Watakuacha ukiwa ume-sweat wakisha-i-ramba asali/ Unaweza kuhisi wanakupenda kumbe wanakutamani/ Mwisho wa siku watakutenda kama bwanako wa zamani/" @AZMAMPONDA