@MatindeMagongwe@EngMapundajr Kifungu 6(b) mbona kuna wanasiasa wanakimia bendera kwenye nguo zao mathalani tie au shirt kwa ajili ya kujinasibisha na uzalendo au wenyewe hawajaonekana?
@ChademaTZ2@MsigwaPeter Nyie mna mambo ya kinafiki sana,hakuna lingine la ziada. Kesho akijiunga na chama chenu hata aliyehusika na mauwaji au ubadhilifu wa fedha za umma,mtamuita shujaa,ina maana kuwa chama chenu ndio fagio la kutakasa wakosefu. Achani huu unafiki, historia inawahukumu
@zoetjesheeftX Huenda mume ana ugonjwa hatari anaogopa kukuambukiza... Embu nenda kwanza kafanya check up ya afya yako,kama upo salama... Hapo jaribu kumuomba akwambie ukweli,kama ana shida na anataka kukulinda basi akubali kuwa unataka talaka yako,na umsaidie jinsi ya kuendelea na maisha yake
@yourodogwu That's editing video,look closely to that things hanging at the left side,were swing in a continuations motion,but at disappearance it's movement changed,next time be careful when you want to lie about something