@ExMayorUbungo Hapana Joka lililokuwa linaigonga chadema liko ndani ya chadema na ni lichedema, linaanza kuonekana baada ya kichaka kufyekwa, sasa linaanza kujitokeza waziwazi. Joka hilo kubwa ni kiongozi mkubwa ndani ya Chama.
@masoudkipanya Hatimaye Joka linaanza kuonyesha kichwa!
Pamoja na Joka kuzungukazunguka mda mrefu, sasa limeanza kujidhihirisha na mwishowe linaanza kujionyesha kwa kujidhihirisha.
Joka hilo ni @freemanmbowetz