Ureno imesema itaitambua rasmi Palestina kama Taifa siku ya Jumapili yaani kesho. Jambo hili limetangazwa rasmi na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo. Baadhi ya mataifa mengine ambayo pia yametangaza kuitambua Palestina ni pamoja na Uingereza, Ufaransa, Australia na Ubelgiji.
Yanga wanataman huyu kocha atoke...siku zote Simba hua TUNACHEZA mdundo wa YANGA..
Che Malone alichoma game 2 tu,,ila wanasimba wote tukaingia upepo tukaiacha lulu inayojua kucheza game kubwa....
sio mbaya tuna rushine,,vuta picha angekua na yerico,..
UTO walitupa presha Kwa kishingo tukaingia mkenge...
Didier Gomes Bado alikua na faida kwetu...
Sasa haya makosa tusiyarudie Kwa FADLU,,Huyu ni kocha wa mipango na matokeo,,..
Jana nimeiona Simba ya tofaut sana...
kikubwa nguvu tuhamishie ligi kuu na club bingwa
VIDEO:
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi @CCMTanzania Professa Kitila Mkumbo @kitilam leo Septemba 16, 2025 ameendelea kuzitafuta kwa udi na uvumba kura katika mitaa ya Kata ya Mabibo iliyo jimbo la Ubungo.
Prof. Kitila akiambatana na mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Ashura Seng'ondo wameendelea kupita kwa wananchi wakiwaomba kura na kuwasikiliza matatizo yao.
Changamoto kubwa iliyotajwa katika kata ya Mabibo ni Barabara ya Bint Kayenga ambapo imetajwa kuwa changamoto kubwa hasa kipindi cha mvua.
Prof. Kitila ameeleza kuwa barabara hiyo ipo kwenye mradi wa DMDP na Mkandarasi anatarajiwa kuanza ujenzi muda wowote kwani kwa sasa anatafuta eneo tu la kuweka mitambo yake ili kuanza ujenzi mara moja.
Nalala kwa amani, so far so good. Rushine De Reuck ni beki wa maana sana, kwa mtazamo wangu ndiye man of the match leo. Tatizo ni kwamba haipo upande wetu, pale katikati tutaumia Sana Msimu huu. Kanté ana mwili jumba lakini mzito mno. Mwalimu ni mtu, hongereni sana watani.👏 #NguvuMoja