Zoezi la kushoot Open Mic thursday limesimama ili kupisha Mwezi huu wa Mfungo.
Hivyo tutaitumia likizo hii kwa ajili ya kurusha vipindi vya TV (Clouds Tv) ambavyo vipo maalum kwa ajili ya kuwatambulisha baadhi ya wasanii waliofanya vyema kupitia jukwaa la Open Mic Thursday

Wengi tunamjua kama TOXIC @toxic_fuvi ..Ni kati ya Vijana tishio kwenye Upande wa Freestyle hivi sasa..
Kupitia CLOUDS TV leo saa 8 KAMILI mchana Kijana TOXIC ameeleza mambo mengi sana yanayomhusu yeye kwenye sanaa na Maisha kwa Ujumla...
USIKOSE
#openmicthursdayseasonya3chafu
Zoezi la kushoot Open Mic thursday limesimama ili kupisha Mwezi huu wa Mfungo.
Hivyo tutaitumia likizo hii kwa ajili ya kurusha vipindi vya TV (Clouds Tv) ambavyo vipo maalum kwa ajili ya kuwatambulisha baadhi ya wasanii waliofanya vyema kupitia jukwaa la Open Mic Thursday
Kwa kutambua umuhimu wa mama kipengele cha mitindo huru, Rappers walifanya kitu kwa ajili ya mama zetu
Team nzima ya OpenMic thursday inawatakia heri ya sikukuu Wakinamama wote duniani..
Tunathamini Upendo wenu wa hali ya juu katika familia..
@FidQ@Mo_Faze@NgomeVideo

Tunathamini Upendo wenu wa hali ya juu kwetu..
@FidQ@Mo_Faze@NgomeVideo
Team nzima ya OpenMic thursday inawatakia heri ya sikukuu Wakinamama wote duniani..
Tunathamini Upendo wenu wa hali ya juu katika familia..
Nb. Ikifika saa 8 ni marudio ya show ya Openmic thursday ya Alhamisi usikose kushuhudia ni kwa jinsi gani tuliazimisha siku ya kina MAMA
Usikose kuangalia sehemu ya 7 ya msimu wa 3 wa Openmic thursday ili kushuhudia Vipaji vipya ambavyo viko tayari kuingia kwa Industry ya SANAAA Tanzania
FUNGULIA CLOUDS TV LEO USIKU
@FidQ@Mo_Faze@NgomeVideo@pa_255 @vincent_willz @dray_tz @johnanne22 @FidQfanpage
VYUO 27 ndani ya ESCAPE 1 leo!!? Nice.. ninayo furaha ya kuwataarifu ya kwamba leo team nzima ya OMT imedhamiria kuwaletea VICHWA 7 ambavyo pengine hamjawahi kuvisikia popote lakini ni lazima VITAWARUSHA ile ile. GBOY, STAN RHYMES,NAGUAR,T GWAN,BLACK MC,MAARIFA na TOXIC FUVU