#nowplaying Ting'a by Cjamoker feat. Ellisha James,Cliff Mitindo,Yung Suma,Major Power,P The Mc,Wakazi ,One The Incredible via @audiomack https://t.co/NQdfkVe6Dm
Stay Home to stay safe and protect others sio lazima kutoka kama vitu vinaweza kufanyika nyumbani na kupitia kiganjani mwako #ChanjaKijanja Exim Bank MasterCard exim_banktz https://t.co/ukpTWCYoJV
Nawapenda Je mnanipenda pia?
Asanteni sana kwa kujoin #livenamars leo ๐งก alhamisi ijayo saa 9 kamili mchana Inshallah tuungane tena. Mungu Awabariki na kuwalinda ๐๐พ
#stayhome#staysafe#sanitizeโฆ https://t.co/3QUsr9h9Mw
Uswahilini zamani tulikuwa tukiona mjusi #guruguja anatuangalia tunatibua nywele zetu tukidai eti anazihesabu nywele afu anaenda kumwambia Mungu usiwaumbe tena binadam maana wako wengi So tunamchanganya kidogo!! ๐๐
#Uswaziiiiii