Katika Maisha, usimwamini wala kumtegemea sana mwanadamu. Mwamini sana Elohim. Mtumaini kwa moyo wako wote na kwa akili zako zote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Yeye ndiye atakayeiongoza njia yako na kukutia nguvu katika kila hatua ya maisha yako. Mwanadamu atakuacha.
Hata ufanye nini , mwanamke yoyote anavutiwa na mwanamme yoyote anaoenakana yupo dominant kwa watu au mazingira yanayomzunguka.
Ukiona amekufata wewe ambao upo submissive sana kwa kila kitu na watu ujue hana pakukaa au she is broken inside, sasa wewe unatumika kama daraja
Siku hizi mwanamke akienda sokoni akiwa ananunua matango akiyashika na kuchagua kubwa soko Zima macho kwake!
Mtu ukienda kununua mafuta ya nazi unaenda kununua kwa kificho wakati unaenda kupaka tuu kwa matumizi ya ngozi Yako.
Ukinunua zako Nazi na mihogo ule vitu asili.
Kwa kuonyesha sapoti yangu kwa Azam FC, ninaahidi kutoa 5Mkwa mchezaji yeyote wa Azam FC atakayefunga goli kwenye mchezo wa tarehe 24/06 wa NBC Premier League.
Pia, endapo kipa wa Azam FC atamaliza mchezo bila kuruhusu goli (clean sheet), nitamzawadia 5M
@azamfc@SimbaSCTanzania
Kijana asipoujua ukweli huu mapema, maisha yatamfundisha kwa maumivu:
Hakuna anayekuja kuokoa maisha yako.
Vita ya maisha yako ni yako peke yako.
Miaka huharibika kwa maamuzi madogo yanayorudiwa kila siku:
uzembe, starehe kupita kiasi, kusogeza mambo mbele, na kukosa direction.
Tunaomba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi. Hii itatupa fursa ya kucheza mechi yetu kwenye Uwanja wa Mkapa. Tuko tayari kugharamia maboresho yoyote yatakayohitajika.
@SimbaSCTanzania@Tanfootball
Love isnβt just about feelings; itβs about effort, understanding, and choosing each other every day. A true love affair isnβt perfect, but itβs built on trust, respect, and the willingness to grow together.