Ukitoka kwenye familia ya mboga 7, ni rahisi sana kujenga hoja “watoto chini ya umri wa miaka 14 wasijihusishe na shughuli za kipato.”
Ni rahisi kunyooshea vidole wazazi na kuwaona kama wakatili wasiojali maisha ya watoto wao.
Sio kosa lako; ni mbogasabaism.
bodaboda na kamari, licha ya kuwa msaada kwa vijana wanaoporwa utu wao na serikali, ni dalili za uchumi mfu, uliojengwa kwenye misingi ya rushwa, ufisadi na upendeleo. nyingine ni mamilioni ya watanzania kuendelea kutapeliwa na manabii wa uongo:
Drug cartels in Mexico are recruiting children and forcing them to become killers, putting hundreds of thousands of minors at risk. Al Jazeera’s John Holman gained rare access to speak with child hitmen carrying out murders for money.
@iamthatfemale Wazee wamekuwa miyeyusho wanashindwa kujua tafsiri ya kuoza mtoto ipoje,wamekuwa soft sana . Ushaozesha acha mazoea na mke wa mtu kama kapauka watoto wake hawali hayo ni yao sio yako.
Mzee Manyubwi mwenye ulemavu wa macho awashukuru Watanzania wanaoendelea kumshika mkono yeye na familia yake.
Unaweza kuwasiliana nao kupitia namba 0712363312.
"I can't listen to Trump and his quack RFK Jr."
Says people who obeyed Fauci's lies of a scam pandemic, useless masks, tyrannical lockdowns and dangerous vaccines.
If COVID-19 scamdemic taught you nothing, you are as dumb as a rock.
Puppets in the assembly line.
@HouseDesignsKe Great work 👍🏿.
We have stones that match with your design, next time give us a call and we’ll supply +255786914922 and yes we can cut size depend on your needs.
Chadema ilikuwa ishavuka level ya kumilikiwa ma kakikundi kadogo ka watu wanaojiita viongozi.
Sense of ownership kwa wananchi ilikuwa kubwa ndio maana tulikuwa tunaona wananchi wanaji organize wenyewe maeneno mbalimbali ya nchi na kujenga ofisi za chama na kufanya shughuli za chama kwa pesa zao binafsi.
Hawa washenzi wameshindwa kuficha ubinafsi wao tuu baada ya kushindwa uchaguzi, chama kilikuwa kimeua propaganda ya ukabila kwa kubadili uongozi, chama kiliua propaganda ya udikteta kwa kubadili uongozi nk
Ngoja tuone mtabehave vipi kwenye hiyo special purpose vehicle (SPV) mnayoenda kutumia.
MAMBWA NYIE.