@JohnDoe53450049@SeekNaturalLife@PolycarpMDM Na kuna mambo mawili kwenye kujenga ghorofa kimaendeleo. Mosi-Huandaa eneo husika kwa ajili ya upanuzi wa miundombinu baadaye inakvyohitajika; Pili-hupunguza gharama na muda wa ujenzi na sio vile unavyozungumzia. Kwa kuwa kujenga msingi mmoja ni bora kuliko kujenga mising miwili.
@JohnDoe53450049@SeekNaturalLife@PolycarpMDM hmmmmm wewe, hii nchi sio masikini. Ni uongozi mbovu tuu na katiba iliyombebesha mtu mmoja kufanya maamuzi katika kila jambo. Bali tungalikuwa na serikali inayojali rasimali zetu na inayowajibika tungalikuwa mbali hadi sasa.