@ErickKamihanda Mwamba inaonekana umelishwa MATANGO PORI sana!
Nenda kasome Historia vizuri achana na mambo ya PROPAGANDA.
Anzia hapa kwanza kwanini kila picha ya kuchora kwenye vitabu vyetu vya historia anaonekana Mwarabu kwanini haonekani Mzungu!!?
@chapanombombwi MWEHU KWELI!
1. UNAYAJUA MAUJA YA PEMBA AMBAYO MPAKA LEO TUMEZALISHA WAKIMBIZI PALE SHIMONI MOMBASA KENYA?
2. UNAYAJUA MAUAJI YA MWEMBECHAI PALE MAGOMENI?
WAKATI MWINGINE MUACHE KUTAMIA M.A.T.A.K.O KUFIKIRIA
@Twaha_Mwaipaya Masheikh wapo magerezani nchi mzima kwa kesi kama hizi za Ugaidi mpaka wengine wamefia hukohuko gerezani hatukuwasikia CHADEMA mkizungumzia hilo. Au WAISLAM sio sehemu ya mpango wenu.
@Sativa255 Acha UPUUZI wewe nyerere kamkomboa nani!!!?
Nyerere kaja DAR miaka 1950 watu wameunda chama cha African Association (AA) mwaka 1922 wakati huo Nyerere anachunga mbuzi kwao huko Butiama.