yoshua 1:9
Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari. Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.โ
Jamaa anaongea FACT sana japo kwa utani.
Ila kiuhalisia TANZANIA haitakuwa vile ilivyokuwa tena. Gen Z + Gen ALPHA ni noma mpya ya Taifa.
TUTAKUWEPO๐ซต๐
TEC WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA NA RAIS SAMIA- ASKOFU IKONGO
Askofu wa Kanisa la Matendo Makuu ya Mungu nchini Tanzania kutoka Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste, Askofu Pius Ikongo, amesema Kanisa Katoliki nchini Tanzania chini ya Baraza la
Popote pale ulipo show some Love and Respect kwa dada wa taifa @mangekimambi kwa Retweet & like anafanya kazi ya kitume sana mungu ampe maisha marefu sanaโค๏ธ๐