UKISHINDWA KUDHIBITI MWILI WAKO, HAUTAWEZA KUDHIBITI HISIA ZA WENGINE.
Hii ndiyo siri kubwa niliyojifunza baada ya kuanguka mara nyingi kwenye mawasiliano, Biashara, na hata kwenye mauzo.
Kila kitu kilibadilika nilipojua jinsi ya kutumia BODY LANGUAGE kwa ufanisi.
(Thread)🧵
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA,
Wekeza hapa:
1. High income skills
2. Mentorship na coaching
3. Vitabu na taarifa nyeti
4. Connections na uzoefu.
Hisa za 1M hazitakufikisha popote.
Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
#CodezaUnabii
Niliona NGUVU IMESHUKA KUTOKA MBINGUNI ikawaingia wale kondoo walio kuwa waoga, wenye hofu ya kifo, waliokuwa wakiwindwa na wawidanji kila mahali wakati wa giza. Ghafla wakawa watu wenye nguvu kupita kawaida.
Mwenye masikio na asikie.
Ombi ambalo lilinichukua muda mrefu kujibiwa ni hitaji la hela kwa Mungu. I needed to know how God works in money things, it took almost 4 years to finally understand it. [Saivi angalau nina ka-experince kadogo].
2025 nilitegemea kusikia kwenye campaigns wanaongelea
-Decentralization
-Tax reforms & wealth distribution
-Universal internet
-Electric vehicles
-STEM & digital literacy
-Renewable energy
-Smart agric
-Global alliances nk
Majamaa wanaimba taarabu na kuzungumzia matundu ya vyoo