@dpastory03@Sativa255 Alafu mi huwa nashaangaa ni ubinafsu wa aina Gani hii yaan mtu analilia mabadiliko Kila siku ila yeye anafurahia wengin kudidimizwa tumwambie TU Leo kma wote tutakuwa na ubinafsi kiasi iki basi ata ayo mabadiliko mengine hawatayaona
Mwanzo 15:8-9
[8]Akasema, Ee Bwana MUNGU, nipateje kujua ya kwamba nitairithi?
[9]Akamwambia, Unipatie ndama wa miaka mitatu, na mbuzi mke wa miaka mitatu, na kondoo mume wa miaka mitatu, na hua, na mwana njiwa.
Kuna watu wengi wanadhani Mungu aliwaacha kumbe issue ni sadaka