Kwenye Maisha kuna kupata na kujifunza.
>> Ukiwin, unafurahia
>> Ukikosa, unajifunza
Ilipangwa, MAKOSA yawe shule sio kuonesha ujinga.
Aliyefanya makosa yawe chanzo cha HOFU ya kukosea, alaaniwe!
Kuna madem wengi wanachosha kuzungumza nao.
Hawana uelewa wa kinachoendelea duniani, kwenye tech, siasa, movies, wala mada pana.
Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu.
Alafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.
Huwezi kumfurahisha mwanamke wako kila Mara hata Kama unampenda Sana , hivyo mfundishe kukuheshimu ili akujari wakati wote hata pale anapokua ameboreka 📌
MASOMO 10 MUHIMU KUHUSU MAISHA NILIYOJIFUNZA MWAKA 2025
1. Kama mtu anaongeza thamani ya kweli kwenye maisha yako, mshukuru hata kwa mambo madogo
2. Usijaribu kuwa mtu wa “kuhitajika.” Kuwa mtu anayechaguliwa
3. Usijitese sana ili kuonekana mzuri kwa kila mtu. Heshima haiji kwa kumpendeza kila mtu
4. Usiogope kupoteza watu. Wanaopaswa kubaki, watabaki
5. Jifunze kusema “HAPANA ” bila kujilaumu. Mipaka inalinda heshima yako
6. Ukimya wa nidhamu una kelele kuliko maneno ya watu wengi
7. Lawama ni kisingizio cha waliochoka lakini uwajibikaji ni tabia ya washindi
8. Acha kuwa mwema kupita kiasi kwa kila mtu. Wema usio na mipaka hubadilika kuwa udhaifu
9. Dunia haijali hisia zako wala maumivu yako hata ukiondoka leo hakuna chochote kitakachokutokea maisha yataendelea na dunia haitasimama kamwe.
10.Usidharau maombi na sala.
Nguvu unayoshindwa kuipata kwa juhudi zako, sala huifungua kimya kimya
Mwanamke bila kuongozwa na muongozo wa kiume huwa na mazingira magumu sana.
Atatumika na wanaume wengine,
Atatumiwa vibaya na mfumo wa Dunia,
Na ataachwa akiwa na msongo wa mawazo na kumeza antidepressants, ulevi, kujiua au umalaya.
Mwanamke anatakiwa kuwa chini ya uangalizi wa Baba, Mume, Kaka au Mtoto wa kiume.
Siku ambayo nitampiga Sana mwanangu ni siku ambayo nitamuona ana mrushia mawe mbwa anayejitafutia riziki jalalani maana NDIO MWANZO WA ROHO MBAYA
Mbwa akiondoka jalalani na kuacha kile chakula hawezi kukila yeye
Unaweza tumia miaka kumi kutafuta na usipate,ila siku moja tu ukapata kikubwa kuliko vyote vya miaka kumi ilopita,so tafuta kila siku kuipata hiyo siku!!🗝️
Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo unaolalamikiwa kwa kunyonya watu the best thing you can do ni KUKAA KIMYA. Hii ina apply mahala popote pale ulipo iwe maofisini na mahala pengine. Sio lazima kila jambo uliwekee maoni kinzani kwa sababu tu lina maslahi kwako. JIFUNZE!!!