@Dr_DGwajima Mheshimiwa, safari njema! 🚀 Lakini tafadhali, usirudi mikono mitupu… urudi na zawadi ya Laptop moja tu kwa kijana wako ninayejituma kama graphics Designer🎨🔥
Msaada wako unaweza kuwa tiketi ya mafanikio yangu pia kazi zako za graphics nitazifanya kama kulipa shukran