Ukipata vihela, nunueni viwanja na mashamba.
Biashara zinakufaga au kushuka, ajira zinaweza kupotea au kuisha, ila una shamba lako, una viwanja, you have another chance to rejuvinate your life.
@itzjacton I will never forget that powerful header in the 87th minute, that header cemented Didier Drogba's legendary status at Chelsea. It was just unbelievably breathtaking at the Allianz Arena. I'm a United fan but I found myself celebrating both African and football greatness.
Unavyozidi kukua na kupambania Riziki ndio unagundua kuna nguvu za kiroho zinatumika kutuangusha bila sisi kujua au kuwa na maarifa nazo.
We must upgrade our faith game.
Happy new year good people, pale tumekosea 2024 tumejifunza.
Tuongeze juhudi kwenye kazi, nidhamu ya fedha, afya binafsi na kuwekeza kwenye familia.
Usijishughulishe na maisha ya watu ambao huna ukaribu nao, punguza chuki kwa watu hawakuhusu, penda watu wako kwa vitendo.
RUKWA:
Ripoti ya CAG imebaini jengo la bweni kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum (Shule ya Msingi Mkamanye) limekamilika kwa Tsh. 20M lakini halitumiki. Sababu Hakuna vitanda, magodoro, na maji.
Imagine, wanafunzi maalum wananyimwa huduma kwa uzembe huu.โจ#UwajibikajiKwaMaendeleo
Win or not, SC Tundu A Lissu has unveiled the ugliest chapter of the available alternative.
Time to rethink and take active role in liberating our country from corrupt ruling eliteโs capture.
@SkySportsPL I didn't watch the match but l'm sure we played well, l'm optimistic under Reuben Amorim our team will get stronger and competitive again. Come ooooon United!