"Pale ambapo kumetokea kukosana, kukoseana, kuumizana na kutengana tukumbuke neno la upatanisho, tukafunguliane mioyo yetu tuombane msamaha, tusameheana kwa sababu hakuna aliyemkamikif. Kutosameheana ni chanzo cha maumivu yanayodhoofisha jamii" ~ Askofu Dk Fredrick Shoo
Yeyote anayefurahia au kunyamazia uovu dhidi ya utu na ubinadamu kwa sababu tu anayetendewa uovu ni adui yake au siyo wa upande wake ni dhahiri amechagua kuwa upande wa uovu.
Yeyote anayefurahia au kunyamazia uovu dhidi ya utu na ubinadamu kwa sababu tu anayetendewa uovu ni adui yake au siyo wa upande wake ni dhahiri amechagua kuwa upande wa uovu.
@Ntobi_ Kama wanaweza kufuta usajili wa Kanisa na kusitisha shughuli za ibadi kwa mtutu wa bunduki, basi kusitisha shughuli za chama cha siasa cha upinzani ni kama kupiga mswaki tu.
"Tusitumie majukwaa ya kidini kufanya siasa. Viongozi wa dini wasiwape nafasi wanasiasa katika majukwaa ya kidini. Halafu anayeyasema hayo yupo kwenye tukio la kidini na anatumia jukwaa linalohusiana na masuala ya kidini". INAFIKIRISHA!
@JMakamba Nimefurahi kumuona Dk Goodall, mara ya mwisho mimi kukutana naye uso kwa uso ni miaka ya mwanzoni mwa 90. Hakika nilijifunza mengi kuhusu ubinadamu, nature.
Mwaka 2016 baadhi ya makada wa CCM waliipongeza zuio la mikutano ya hadhara. Leo, watu wale wale wanampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa zuio hilo. Kwa lugha rahisi, nyepesi na ya staha, watu wa aina hii tuwape jina gani?
Mjadala unaendelea kuwa alichofanya na Rais @samia suluhu hassan ni kafuta zuio haramu la mikutano ya kisiasa; siyo kuruhusu mikutano ya hadhara kwa sababu mikutano hiyo iko kikatiba na kisheria. Wewe unasemaje?