@binac@BillyTronix1 Inawezekana pia hata mimi ni hivo sema nina account za Biashara na wateja wengi wanpenda tumia account za biashara kutuma hela.
Ila kama ni personal transfer mtu nampa tu bank ya Selcom anatuma
@Papa_Marechal@mmakonde_mmoja_@MabayaSam@Cowwbama Me niliwah ibiwa simu wakaiba hela kwenye line yangu ya boda na namba ya siri baada yakurenew line nikakuta imebadilishwa aiseee hawa jamaa ulishaibiwa ndo utajua kama kuna namna wanashirikiana huko
OFFICIAL ANNOUNCEMENT TO THE WORLD
We, the Tanzanian people, do not recognize Samia Suluhu Hassan or Deo Ndejembi as the legitimate President and Vice President of Tanzania.
No legitimate election was held on October 29, 2025. Instead, what happened was a systematic campaign of mass killings, with more than 10,000 Tanzanians killed during a five-day internet shutdown.
Any government that recognizes these two individuals as the legitimate leaders of Tanzania is turning its back on the Tanzanian people and standing against their demand for justice, democracy, and accountability.
Those responsible for these atrocities must be held accountable. The blood of Tanzanians cannot simply be ignored, and the victims and their families must not be forgotten.
We call on the international community to stand with the Tanzanian people as we fight for:
A new, democratic Constitution
A genuinely free and fair election
An end to killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, and sexual torture
An end to the suppression and muzzling of the independent media
Full accountability and justice for the victims
Tanzania belongs to its people.
We will continue to demand democracy, freedom, justice, and a government that derives its legitimacy from the will of the Tanzanian people.
The world must stand with the people of Tanzania.
KISWAHILI
TANGAZO RASMI KWA ULIMWENGU
Sisi, Watanzania, hatuwatambui Samia Suluhu Hassan wala Deo Ndejembi kama Rais na Makamu wa Rais halali wa Tanzania.
Hakukuwa na uchaguzi halali uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Badala yake, kilichotokea ni kampeni ya mauaji ya halaiki yaliyopangwa na kutekelezwa kwa utaratibu, ambapo zaidi ya Watanzania 10,000 waliuawa wakati wa kukatika kwa intaneti kwa siku tano.
Serikali yoyote itakayowatambua watu hawa wawili kama viongozi halali wa Tanzania inawageuzia kisogo Watanzania na kusimama kinyume na madai yao ya haki, demokrasia na uwajibikaji.
Wale waliohusika na ukatili huu lazima wawajibishwe. Damu ya Watanzania haiwezi kupuuzwa, na waathirika pamoja na familia zao hawapaswi kusahaulika.
Tunaiomba jumuiya ya kimataifa kusimama pamoja na Watanzania tunapopigania:
Katiba mpya ya kidemokrasia
Uchaguzi huru na wa haki
Kukomeshwa kwa mauaji, utekaji nyara, kufungwa kiholela na mateso ya kingono
Kukomeshwa kwa ukandamizaji na kunyamazishwa kwa vyombo huru vya habari
Uwajibikaji kamili na haki kwa waathirika
Tanzania ni ya Watanzania.
Tutaendelea kudai demokrasia, uhuru, haki na serikali inayopata uhalali wake kutokana na matakwa ya wananchi wa Tanzania.
Ulimwengu lazima usimame pamoja na wananchi wa Tanzania.
@Chaplexis@PoojaShali So maybe I should ask you what do you expect them to do than just staying inside.
Do you want them to swim in the mud?
Do you guys sometimes think using your ass instead of you brains🌚