Critical thinking and argument within Tanzania, Africa and worldwide. Uncovering the truth. Taking back senses of free, impartial, independent thought in line.
TAL alitengenezwa hivi dhidi ya wengine na chama chake. Akawa mtakatifu na shujaa wengine mashetani na makapi. Sasa ni @HecheJohn tena nje ya chama chake na wenzake. CDM tayari Ina misimamo na maamuzi yake kitaasisi, hayatajwi. Akili kubwa inahitajika kujua mwisho wake hapa.
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa.
Tusikubali Heche akawa demoralized.
Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani โpeleka motoโ. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa.
Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vitaโฆ..
Tatizo kubwa la @ChademaTZ2 ni namna ya kufanya siasa endelevu baada ya FAM. Haiwezekani mwenyekiti kufungwa ikawa kimya, kama hakuna kilichotokea. Hii inaweka mazingira kuwa magumu zaidi mbele. CDM ilikuwa sustainable with all the chaos. Kwa sasa kinahitaji balance.
@tonyalfredk Anaposema jamii iko kimya sidhani anamaanisha muktadha unaoongelea hapa.Tukiri kwamba tuna citizenship ambayo ni active mtandaoni zaidi kuliko ground. Tangu attempt ya Okt.25 jamii imerudi nyuma. Ingekuwa Kenya mathalani, Kiongozi mkuu kama TAL hukumu yake Nairobi pangechafuka.
@omaryMkiza Ushahidi uko wapi? Unajua tatizo la kusikia maneno na ku amplify bila tangible evidence ni upofu wa akili. Eleza tu hapa Mange katoa ushahidi upi? Alitaja kikao cha FAM, Sugu, Boni na JK, akazungumza Lema kukutana na FAM. Ushahidi aliotoa ni upi? Yaani mtu abagaze watu kiholela?
Ukweli ni kwamba hii imekuumiza. Baba yako ni mtu muhimu ambaye unaweza kufanya lolote kwa ajili yake. The fact kwamba hukuweza kuja kumstiri ilikuwa ni kuogopa kukamatwa na kupewa kesi mbaya. Hii ndiyo hoja ya Lema. Ukiwa ground you have to balance to keep the struggle going.
Asante sana kaka @HecheJohn uliongea siku ya mazishi ya Baba yangu mwaka jana na ulieleza maisha ya mtu hayajaribiwi! Ulinitetea kwa hoja nzito!
@ChademaTZ2 mlisimama na kuhesabiwa ila Samia Suluhu na CCM walichofanya ni kukwepa kutaka kuhusishwa which is OK!
Ila ni vyema wananchi waone tofauti ya hawa watu wawili Heche na Lema!
Lema alikuwa hapo na Heche siku hiyo - ila leo anasema mimi ni mwoga!? Imagine unafiki wake!
Sikilizeni alafu amueni nani kiongozi na nani ni mbabaishi na tapeli wa kisiasa
Kwa hii ishu yangu kwangu Lema kuongea kama chawa wa Mama jana ame- commit political suicide! Bye Felicia ๐๐ฝ
#TutaelewanaTu
@HecheJohn kataa hiki kinachopandwa wewe dhidi ya chama na wenzako. Unatengenezwa kuwa unique nje ya chama chako. Ni hatari. Chama ni watu. Chama ni institution. Wewe ni Kiongozi wa institution. Huu utukufu ni mtego. Ukatae.
Mwanasiasa wangu bora 2026 ni Tata John wegesa HECHE.
Mwaka jana nilimpa LISSU.
Hii combination ya LISSU & HECHE inaenda kututoa KWENYE VIFUNGO VYA WAKOLONI WEUSI.
@Mwitah_tz Hata ukimsikiliza Lema basically anazunguka palepale. Anashindwa kuadmit tatizo lilipoanzia. Kwa sasa Heche na TAL ndiyo wanaonekana wapendwa. Wanaangaliwa kama watunza nira ya โwanaharakatiโ. Kama mmoja kati ya akionesha mwelekeo tofauti, itakuwa full blow.
Mange, Hilda. Maria โฆ blah blah blah
Alafu tena Mange kisha Hilda alafu Maria ๐
Dude!
Eniwei Abdul masharti yake magumu niliwaambia pesa huwezi kulamba ukabaki mpambanaji!
Lazima utimize masharti au ..
Wanawake tunawakosesha usingizi mibaba mizima kutwa wanatusegenya kwneye magroup kama mabinti!
Sisi hatutatetereka!
#TutaelewanaTu
@AchibodM@jjmnyika@amanigolugwa@ExMayorUbungo@godbless_lema Lengo ni hilo. Kuondolea uhalali wa watu ndani ya taasisi. Ultimately na chama chenyewe. Ni calculated move. Maria Sarungi aligombana na Maxencce Melo wa Jamii Forums na Kabendera kwa kuseek freedom. Alitaka kuona wakiozea jela ili yeye auze hashtag ya FreeMax, FreeKandendera.
@Britanicca0 Hawa si wanaharakati, hawa ni wajasiriamali wa harakati. Ni mambo mawili tofauti. Mwanaharakati hawi dikteta na muua wajihi na profile za watu bila ushahidi. Hawa ni watu ambao hali ya utulivu katika siasa kwao ni kukosa maslahi.
Historia inaonesha huyu bwana na @MariaSTsehai muda wote hawajawahi kuwa rafiki wa CHADEMA.Ukaribu wao na taasisi hii umezuka tu pengine kwa maslahi fulani.Kujipenyeza kuonesha wana dhamira moja. Ilianza na kuteka vijana fulani (Akina Soka et al) sasa wanataka kukiteka chama.
Uzungumze pia kwa nini Msuya baada ya kuniteka Nairobi alikutafuta wewe umsafishe na ukapiga simu kwa shangazi @MariaSTsehai kufanya hiyo kazi, kabla hata ya kujua hali yangu ikoje
Kwa nini watu wanaoteka watu wanakutafuta uwasafishe ? yaani wewe kama pambanaji mtekaji wa mafwele anakutafuta vipi hata tu kujadili suala la utekaji ? Hii story kwa nini ukuwaji kusema kwamba ulifuatwa na Msuya umsafishe na ukakubali maongezi naye? ni tukio hili tu umewahi pigiwa simu na watekaji ?
Nadhani @CanadaTanzania wanatakiwa kuwa makini sana na hizi association zako
This is called holding hostage a political party, intimidating against any possible line of divergence with harakati which ultimately will come and wonโt be good news. At first it was targeting individuals, Lema falls into this. Now it sounds like intimidating the party.
โผ๏ธ๐จNashauri kama hujalamba asali ya Abduli na uko Chadema - tulia usikilize kwa makini sana anachoongea Mange @mangekimambi kuhusu Lema na wenzake!โผ๏ธ
Mtu kugeuka kuwa msaliti baada ya zile damu za #MO29 ni LAANA! Mtu anayetamba (na wengi mmemsikia kwa masikio yenu wala hamjasimuliwa) kuongea na Mafwele kila wakati na kumtetea Mbowe - huwezi kusema eti ana interest ya Tundu Lissu at heart!
Sasa we unamtetea Lema na wenzake badala ya wao kujitetea sababu gani kama hujalamba asali?
Mi nawaambia Chadema wote - msipojua basi ni kwamba Chama ni watu! Siku mkiruhusu upumbavu wa maridhiano ya akina Mbowe iingie Chadema mtabaki jina tu kama wenzenu!
Sisi tutaendelea na MOVEMENT na umma wa Tangayika hautakata tamaa wala kurudi nyuma! Tupo hapa imara na hatuwezi kukingia kifua kikundi cha watu kinachofikiri taasisi iliyosajiliwa na serikali haramu ya CCM ina thamani kuliko HAKI na Damu za wananchi!
Kwa sababu kwa sasa mtanganyika hata aliyopo kwenye mfumo HATES Samia and gang with a passion! Na mnavyoenda kuonana na Abduli - watu waliomzunguka ndo wanatuletea taarifa maana wanawachukieni SANA! So mjue kama mnataka hizo chuki zihamie kwenu sawa - ila sioni sababu!
Pesa za Abdul ukishachukua lazima uDELIVER au ujimalize ila huwezi kubaki eti โmpambanajiโ huko unakula pesa zake!
So mmeshajimaliza kisiasa na mkianza kumponda kimama chake, Abdul anakuja kuwadai na kuwafanya jambo baya - si mnajua anavyopenda makalio ๐ kitoto cha shetani aliyelaaniwa!
Sasa ni hivi ukiletewa ofa ya Abdul - RUN LIKE HELL! Au kubali roho au hata mwili wako upotee na uangamie milele
Na msiseme eti tusimwongelee mtu - sisi tutaongea hadi tuchoke - mkitaka kutuziba mdomo mna tofauti gani na CCM?
Taifa linahitaji RADICAL CHANGE si siasa za ulaghai! Get rid of the ROT now kabla hamjaoza wote!
#FreeTunduLissu na #TutaelewanaTu
Rais anazungumza tuhuma nzito kama hii za kuhujumu soko la Kariakoo. Hatuna kesi yoyote mahakamani kwa hili. Kaona kujenga soko jipya ni zawadi. Ili kuwajibu na kuwakomoa wachomaji makusudi wa soko. Baadaye walichome tena!
Rais Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo leo Alhamisi Januari 30, 2025 katika hafla ya chakula cha mchana na walioshiriki uokoaji katika jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo Novemba 2024.
#mwananchiupdates#tunaliwezeshataifa
To read the Tanzania Access to Information (ATI) study report 2017 and Access to Information Act No. 6 of 2016 Regulations , follow this Link : https://t.co/lV2MHihpJq
#MISATanzania#AccesstoInformation#Tanzania