@ze_mandevu Ulisikiliza nyimbo ya MWANAJUA au WACHEZAJI WA TIMU? nitakuwa nimekudogoshea vizuri. Kuna mwanamke anaitwa jeska ndio huyo, mwenye TATOO YA ASILI.
@nick_mgina@GeorgeJob14 Wangefungiwa wachezaji, kocha mpaka benchi la ufundi na walikuwa wapo tayari dhidi uonevu unaotokea. Ushindi wa mtu mweusi ni papatupapatu.
@nick_mgina@GeorgeJob14 Kuna kitu kimefanyika, fair decision bila ivyo yule refa asingekuwa na maisha marefu, na na timu Senegal mpaka wachezaji carrier yao ndio ingepotea.
Happy Independence Day🇹🇿
From the snowy peak of Mount Kilimanjaro to the endless plains of the Serengeti, Tanzania is a nation of breathtaking beauty, rich culture and incredible people
Let's celebrate freedom, unity, and one of the most stunning places on Earth. ✨
#UhuruDay #Kilimanjaro #Serengeti
This photograph takes us to Humla, one of the most remote districts high in the Himalayas near the Tibetan border: Ritual Masked Dancers. Location: Limitang Village, Humla, Nepal. Date: 1985 AD. Medium: Selenium toned gelatin silver print. Photographer: Kevin Bubriski.
Kwamba UNJU achane ma verse mapya ili a-prove nini yaani au amuoneshee nani kwamba yeye ni mkali?
Hiyo fanyeni nyie mlionza RAP juzi aisee...TUHESHIMIANE maana vi EP vyenu vinne havifikii mixtape yangu moja sio ALBUM.
Busta Rhymes amechana nyimbo zake zile zile za zamani au ile verse ya "Look at me now" kwenye interviews ngapi?Shindaneni wenyewe pia jitahidini basi hata muwe na verse moja moja za maana zinazojulikana,maana mimi naanza kurap wengine mlikuwa MASHABIKI tu
@AmaniMaham67970 @Roma_Mkatoliki Kikwete akisikiliza nyimbo za Ibra anatabasamu na anaelewa maana ya sanaa. Mzee kessy alikuwa anataka teuzi, ingekuwa hoja angetembea na mistari.