@godbless_lema Mh.nimekuelewa sana na ukizingatia Mungu anasema tunaposali tusipayuke payuke,,mi sjawahi kuelewaaga hzo kelele ni kwa ajili ya nan askie ama wanahisi Mungu hasikii kama yule wa mabaali? Enewey na mi nasali huko huko ila siwez badilisha mfumo..
Asanteni kwa upendo na sapoti yenu โค๏ธ
Sichukuli poa huu upendo maana kiukweli mnanitetea na kunipambania - hadi kuna wapumbavu wanafikiri nimewakodisha ninyi wote ๐ hakuna pesa kama hiyo duniani! Ni upendo wa kipekee ๐ฅฒ nimeguswa sana!
Tupo pamoja hadi tupate ukombozi wa pilli ๐ช๐ฝ๐ฅ
Hatutarudi nyuma hatutakata tamaa!
No retreat no surrender!
No force on earth can stop an idea whose time has come!
Tushikilie hapa hapa and FOCUS! ๐๐ฝ
#ChangeTanzania