Ni Furahiday na Marsh Baby yuko hewani ndani ya #UNYAGONI akifunga wiki kwa mada moto kwenye kipindi chetu cha mapenzi na mahusiano. Usikose!
#UNYAGONI#COCOFM#ladhayapwani
Digital Producer: @ShiangalaMike
Nini maana ya methali hii.
"Cha kichwa kitamu, na cha mkia kitamu"
Kumekucha! Staftahi ya Mtswano wa lugha tayari iko mezani, karibu tuibugie.
#ladhayapwani#COCOFM
Karibu ndani ya #IbadaNaCoco naye Elizabeth Mwende tuabudu na kubarikiwa mbele za Mungu hadi saa nne asubuhi. Unasikiliza ukiwa wapi?.
#ladhayapwani#COCOFM
Burudani haikosi moto ndani ya #TheWave254!
Hon Baba Yaga, Ruby kache na DJ Capuchino wako hewani sasa hivi kukupea burudani isiyo na kikomo!
Usikose – LIVE on COCO FM!
#THEWAVE254#ladhayapwani#COCOFM
Digital Producer: @ShiangalaMike
Kipenga Kimepigwa!
Tudunde viwanjani na Kaka JP Juniour pamoja na Habel Zobe ndani ya #KIPENGA!
Mchakamchaka wa spoti, mechi kali, mahojiano na analysis moto moto zinakusubiri!
#Kipenga#ladhayapwani#COCOFM
Digital Producer: @ShiangalaMike
Hon Baba Yaga @BabaYag73478613 anakuletea burudani safi, mazungumzo ya moto, na story kali ndani ya #COCOExtra!
Hii ni dose yako ya mazungumzo motomoto, maoni ya kihisia na mada zinazochokora akili!
#cocoextra#COCOFM#ladhayapwani
Digital Producer: @ShiangalaMike
Pauline 'Mbarikiwa' Mwango yuko tayari kuianza siku na neno, maombi na muziki wa kuinua roho ndani ya RAUKA NA COCO!
Ungana nasi sasa hivi kwa asubuhi iliyojaa baraka!
#ladhayapwani#RAUKANACOCO#COCOFM
Digital Producer: @ShiangalaMike
Ni ule muda wa #JahaziLaTaarab na Maama Madikodiko . Kila kitu kiko sawa ni wewe kuwa mmoja wa msafara huu tuburudike na misakato ya #Taarab hadi Saa tisa mchana... Unasikiliza ukiwa wapi?
#LadhaYapwani#COCOFM
Ni muda wa Mapumziko baada Ya kuwa na siku nzima ya kutafuta,, it's #RhumbaRevolution na Pyukapyu Wa Pyukupyu & @works_deejay hadi Saa nne usiku. Unasikiliza ukiwa wapi?
watch live: https://t.co/DDScPGDBhk
#LadhaYaPwani#COCOFM