Mamalishe | Food Stall
Rasimisha biashara yako ya chakula kitamu. Endesha kwa usalama na usafi. Ukishapata vibali husika na una sehemu ya kuweka banda kontena nusu/robo lako nicheki DM na bajeti yako:
.Usafi
.Endesha kisasa
.Jitangaze mitandaoni
#MgodiWaAdam