Unaijua Hii!?
Naiuza imebaki moja tu, Amazon Kindle 4gb, 8 the generation. E.t.c
Ukiwa na meeting na Mzungu au tajiri yeyote msomi akakuona umeshika Amazon Kindle lazma akupe kipaumbele. Inatumiwa na watu makini saana.
Nakuuzia elfu 95 tu fasta fasta. ๐
@Germanhamisi @ChizikaNaChizi @kamanijajr @broke_jk @ModestaZ7@Big0047@fazoboya@nyuki_malkia Mimi nna hamu Sana nione what happens when we die yaani inakuwaje tukifa... Tutajielewa au ndio itakuwa eternal deep sleep!?
I'm curious?
@mkandamizaji@kigogo2014 We jamaa nakukubali saana unajua kujipekecha kimkakati saana. Una akili kubwa saana politically and spiritually.
Utafika mbali!
@BabuTale@SuluhuSamia Ila Mkuu! Unatenda dhambi saana kutowawakilisha watu wako na kuongea vitu visivyo na sense Wala maslahi kwa watu wako.
Umetukosea sisi watu wa Jimbo lako.