Kuna mahali , average person anakula zaidi ya kilo 84.4/year. Haswa maeneo yenye baridi Kali..
Nadhani ukiachana na ufukara, mazingira yanachangia vile vile.. kama hamfugi wayama, ama mnafuga just to posses hamuwezi kula nyama regularly.. but Kuna areas bila nyama, Tena ya mafuta ya kutosha unakauka na baridi hapo.. like alongside Tibet ๐ฉ
Me nadhani kama mwanamke anaalign na mtazamo wako na anauishi huku akiheshimu utafutaji wako basi kwa asilimia kubwa huyo mwanamke ukiwa nae maisha kwako yatakuwa marahisi sana.
Wanaume hawaanguki kwa ukosefu wa akili au fursa, huanguka wanapopoteza uthibiti wa hisia zao, kwa sababu hasira imemaliza himaya, mahusiano, familia, bahati na mustakabali zaidi wa maisha
NENO LA LEO :
Kamwe usijaribu kua fair katika maisha ambayo kila mtu anadanganya vinginevyo utashindwa kila mahali , yaani usihurumie mtu wajibisha kila mtu awajabike kwa matendo yake mwenyewe ๐ .