FEAR WOMAN WAZEEE.
Kunae mchizi wangu mmoja mjeshi alikua na manzi yake wa muda mrefu tu, jamaa anamuhudumia demu karibu kila kitu (sometimes analipa hadi Ada). Manzi anasoma zake college, Anaishi hostel lakini pale home kwa mchizi anaenda anytime. Mchizi anampa wife treatment...
Hakuna uhusiano kati ya kupata/kukosa na Kupendwa au kuchukiwa na Mwenyezi Mungu.
..Unaweza kuhisi aliyepata ndo anapendwa na aliyekosa ndo anachukiwa na kumbe ni vice versa.
Mshukuru Mungu kwa kila hali.
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo
1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki "
2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ?
Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
Niliingiaga hapo kipindi flan nimetulia kwenye kisofa nakula vyombo huku nikishuhudia ufuska ambao sijawahi kuuona maishani, mara bidada anakuja na mshikaji akanambia kaka tupishe hapo jamani tufanye kazi. kutomba hutombi umekaa tu, we umeambiwa hapo ni sehemu ya kulewea?...😅😅
Wasafi media vipindi wameshindwa kuendesha wameamua wapige ngoma, Cha ajabu kupiga ngoma pia imekua kazi. Dj anaweka playlist yake ya ngoma 10 on repeat siku nzima kmmmk😅
Hata kwa sisi ambao sio matactico tunaona kabisa Chama anaikaba team tangu first half, halafu sub ya kwanza inakua ya Gueye na Chama anamaliza dk 90. Au ndo coach ana jicho la kiufundi😃Au mkataba wa jamaa kuna kipengele kuwa lazima acheze dk zote?