π€£π€£ kakiuka kiapo kamwaga jalaa af maza kapita nae speed 360. hii dunia ngumu jamani. @SuluhuSamia 5+ tena. huyu dingi alijua leo mama yupo bize na sherehe za uhuru wa JWTZ dadekiiii.
@tanpol , @TZMsemajiMkuu , @PMadeleka , @ChademaTz ,@humanrightstz watu wanaomshikilia huyu kijana na wenzake tambue hili ni doa kwa taifa ' pia litachafua taswila ya amani katika taifa hili. aliyepo nyuma ya jambo hili tambueni Mungu atajibu kwa mapigo mabaya sana @freesoka now