Tarehe 26 mwezi huu nahadhimisha siku yangu ya kuzaliwa naachia wimbo mmoja toka kwenye mradi wangu pendekeza ni wimbo upi niuachie. Pia mradi unapatikana Kwa 15k ila natoa offer ya 10k Kwa watu 30 tu wa mwanzo mwisho tarehe 26 saa 5 na dk 59.
Karibu sana🙏
Dada yangu katika harakati zako usimzalie mtu hajakuoa vita ni kubwa sana single mothers hataki kichezewa Tena anataka kuolewa na vijana nao hawataki kuoa mwanamke mwenye mtoto
Jamaa anaitwa mkax pepe anafanya Reggae,Danceall na Ana rap
Ana kipaji kikubwa sana anachelewa eidha Hana washauri wazuri au hajui afanye Nini kwa wakati Gani na game inahitaji Nini kutoka kwake Mimi binafsi naona akirap na akimix zile Danceall kwenye beat za rap tobo hili hapa
Nimefanya huu muamala saa 19:28 saa 19:31 inaingia sms ya utapeli pasinashaka watu wa kampuni za mitandao ndio wahusika wakubwa ndio maana haya mambo hayawezi kuisha.
@VodacomTanzania mna cha kunipanga katika hili?
#HABARI Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha limesema linaendelea kutumia mifumo ya TEHAMA katika kudhibiti makosa ya usalama barabarani ambapo Jeshi hilo limebainisha kuwa kupitia mfumo huo Mei 27 muda wa alfajiri limewabaini madereva watatu ambao wamevunja sheria za usalama barabarani.
Akitoa taarifa hiyo Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Zauda Mohamed, amesema kuwa kikosi hicho kinaendela kuboresha mifumo yake ambapo kwa sasa kinatumia mfumo wa kufuatilia magari (VTS) katika kuwabaini madereva wanao wanaendesha magari mwendokasi.
SSP Zauda ameongeza kuwa kikosi hicho kinaendelea kutumia mifumo hiyo ili kuondoa malalamiko kwa watumiaji wa vyombo na wananchi kuhusiana na madereva wanavunja sheria za usalama barabarani huku akiweka wazi kuwa mapema leo tayari wamekamata madereva watatu waliozidisha mwendo.
#EastAfricaTV
TAARIFA.
Mnapotoa update za michango ni kiasi Gani kimepatikani pia msisahau na kiasi kilichorudishwa mpaka sasa tuna MILIOO NA LAKI MOJA
@Sirjeff_D@MiriamMkanaka@iamcleopatricia