@HildaNewton21 Siku hayo maandamano yakifanyika, kwa kuwa yatakuwa na baraka za dola mchongo, waoigania haki nao watoke siku hiyo hiyo kwa wingi na ndiyo iwe mwanzo wa maandamano ya kudai haki na kumkataa nduli Idd Amin Mama. Watakuwa wamefanya vizuri kutuanzishia maandamano.
@taifa_kwa@Eggle_Vuvu Unapata wapi uhalali wa kuhoji michango ya chama wakati umefumbia macho ufisadi serikalini? Inashangaza sana watu wachafu kufanya scheme za kuchafua walio safi
@mangekimambi@VitusNkuna Hata huyo unayemwita kidume cha mbegu huwa haendi kwa mihemko na kuvunja sheria. Angekuwa anavunja sheria ovyo, wangeshamfunga na jumuiya ya kimataifa ingeshindwa kumtetea maana wangeweza kuthibitisha kuwa kavunja sheria. Tafautisha mihemko na busara Mange!
@FeliusFesto@HecheJohn Huyu mpumbavu anaongea nini? Lisu yuko hotelini London? Gereza la Ukonga ndiyo hoteli yake ya London? Kapewa maneno ya kusema, naye anasema hata bila kufikiri.
@millardayo Mwigulu asituchanganye. Uchaguzi gani uliisha. Haujafanyika! Ndiyo maana watu hawajatulia. Na hawatatulia hadi utakapofanyika uchaguzi unaostahili kuitwa uchaguzi.
Wait, let me get this straight.
So this woman ordered the killing of over 10,000 of her own citizens, then turned around and claimed the presidency.
Just days after the massacre, she stood on a podium and proudly declared that “the correct force” had been used against protesters. Then, in one of the coldest moments imaginable, she questioned grieving parents by asking: “Why did you allow your children to protest? This is why they are dead.”
When the European Union condemned the killings, she arrogantly responded: “Who are you to tell me what?”
Then the United States condemned her regime. Unlike her response to Europe, she was far more careful with America because she fears Washington. Instead of insults, she sent lobbyists to try and convince President Trump and the U.S. government to look away from the bloodshed.
As we speak, Tanzania continues paying tens of thousands of dollars every month to a Trump-aligned lobbying group in Washington, hoping Americans will ignore the massacre. But despite the lobbying, President Trump has not looked away. Members of the U.S. Congress have continued standing with the victims and condemning the killings.
When lobbying failed, she moved on to offering mineral and business deals to American companies, believing economic interests would erase the blood of innocent protesters. Some companies accepted the deals, yet still the pressure from the United States did not disappear.
And now, after failing to silence international outrage, what is her latest move?
She has turned to some of the world’s most notorious online scammers to help rewrite history , to shift blame away from her regime and somehow pin responsibility for the killings on America and President Trump. She has hired a NIGERIAN SCAMMER to do a documentary to whitewash the killings. All reputable journalists and media houses in the world refused to do her dirty work, except Nigerians, OFCOURSE!!!!
Imagine that. A government after massacring its own people now paying NIgerian scammers to attack the very countries demanding accountability.
@POTUS, @realDonaldTrump Tanzanians are begging the world not to abandon us. A country cannot heal, prosper, or remain stable while the person who ordered mass killings continues to hold power without accountability.
The people of Tanzania deserve justice. And above all, they deserve the chance to reclaim their country and live without fear.
@suleimankakweb1@Addy_Adams Wakikubaliana kwa kila jambo watakuwa, ama wote mataahira, au mmoja wao taahira. Wanadamu wo wote wenye akili timamu, hata wakiwa na lengo moja, wanaweza kutofautiana namna ya kufikia lengo hilo. MASISIEMU wanakubaliana na kimama kwa kila jambo. Wanahitaji kipimwa akili.
@IsmailJussa Hawa sasa wawe adui zetu namba moja. Maana hawa ndio wawezeshaji wa dhulma zote zinazoendelea. Hawa wangetenda haki, watawala wangeheshimu wananchi.