RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara mkoani Mwanza kuanzia Juni 12 Mwaka huu na atashiri tamasha la BULABO ambalo limeandaliwa na kituo cha utamaduni cha Bujora pamoja na watemi wa mkoani hapa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema. ⤵️
#HabarileoUPDATES
"Nilikuwa Uwanjani kila siku na mechi za mashindano zikiwa kila baada ya siku 3 na nilikuwa nasafiri sana, Sasa nimeamua kupumzika na mapumziko yangu nayatumia kushiriki na Young Africans Sc katika Wiki Ya Wananchi" @TheRealPitso#wikiyawananchi2022🔰
Wanafunzi wa Tanzania waliosoma mjini mwa Summy walipita mpaka na kuingia Urusi kwa msaada wa wanajeshi wa Urusi. Mapema wanafunzi hao walikwama mjini huko wakikataliwa kuondoka na wanazi wa Ukraine.