The next big defensive midfielder coming out of Brazil.
Excellent tackler, press resistant, good in the air, strong, progressive and a wonderful ball carrier.
His name is Andrey Santos, he plays for Vasco da gama and he's just 18 years.
@tonyjoms@MarekaMalili Garage zipo nina mshikaji wangu anayo hii Honda Ila kwenye gharama za maintenance ni kweli zipo juu Ila mafundi wapo japo wachache
@McinikaWaLamar@JamiiForums Linakua kosa endapo hakutakua na maelezo ya kutosha umepataje kiasi hicho cha fedha, ndio maana umeona Takukuru imehusika ili kufanya uchunguzi. Wanahisi ni unatakatisha fedha au umepata kwa kupokea rushwa.
@unique_asmer Wa kwangu alisema anataka kuondoka mwezi mmoja baada ya kuja nikamwambia anirudushie nauli na usumbufu na nauli ya kurudi kwao awambie ndugu zake wamtumie asilete ujinga, akatafakari naona ametulia. Usipokaza wanazingua sana