@IAMartin_ Watanzania wote na wasio raia haijalishi una chama gani cha siasa.Kwa pamoja tuungune kumuombea LISSU kwa sala na dua
kwa siku hizi kidogo zilizobaki za hukumu.Tuna matumaini makubwa atakuwa huru na kurudi nyumbani kwake akiwa ni mshindi.
@IAMartin_ Ni watu wachache sana wa kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine kama alivyo Lissu.Walimpiga risasi ili afe lakini Mwenyezi Mungu akamnusuru mauti. Hakukata tamaa akaendelea kupigania haki za watu bila kuogopa yoyote kwa kusema ukweli.Kutokana na msimamo wake ipo siku atakuwa rais
@MariaSTsehai@ccm_tanzania True, police na jeshi officers wakistaafu wanaajiriwa tena wakuu wa mikoa na mabalozi na kuwanyima nafasi hizo wasomi walioko mitaani bila ajira.Kwamba na ili utumikie nafasi hizo lazima uwe mwanachama kabisa wa chama tawala,ccm.
@HildaNewton21 Ndio maana TAL alikataa mawakili wa kusimamia kesi yake mahakamani,akasimama kama yeye kizimbani na kwa kuwa Mwenyezi Mungu alimjalia kichwa kizuri na kutoogopa kusema ukweli basi watanzania na dunia nzima katusafisha macho na kafukua mengi tusiyoyajua kisheria. Si mhaini
@IAMartin_ Kazi ni kama barabara lazima kuna mwisho wake. Leo uko ofsini unawaona wenzako wasio na vyeo kwa dharau,kiburi na majigambo lakini huwezi kujua ya kesho.Mhe m|kiti sala na dua tunakuombea sana kwa Mwenyezi Mungu ambaye hupenda wasema ukweli na utashinda tu.
@millardayo Inauma!kumuua mwananchi ni ruksa kweli.Maaskari vyuoni wanafundishwa ni namna gani ya kumdhibiti mtu mpole ama mkorofi sasa mnashindwaje kumtaiti kwa pingu na kumpeleka kwenye vyombo vya sheria na kupimwa ili kujua ni mzima au tatzo la akili.Mtu mmoja bila silaha ataibaje benki
@fbuyobe Mihimili ipo, mawakili na majaji wanaona hawana cha kuamua sababu wapo wakubwa wenye mapower kuliko wao ni sawa na VAR hata kama ipo uwanjani lakini referee ndiye mwamuzi wa mwisho wa game.
@swahilitimes Angekuwa ni mwananchi kapigwa na polisi mitaani hadi kulambishwa udongo wala maneno yasingekuwepo. Watu wanapigwa sana na vyombo vya ulinzi na usalama tena wakat mwingine mbele ya familia inayokuheshimu sana lakini hakuna hatua kali za kisheria zinachukuliwa.
@HildaNewton21 Duh!watafukua mengi na mengi maana mashahidi hawanaga la kupoteza kifuani wataongea ukweli mtupu bila ububu.Mwenyezi Mungu tujalie uhai na afya ili tuone mwisho wa hizo kesi mahakamani.
@IAMartin_ Kuwapata viongozi wa namna kama mwenyekit wa chadema ni mara chache sana kudumu maana ni wasema kweli na kupigania haki. Vitabu vinaandikwa na historia haitafutika kamwe kwa vizazi vijavyo.