Good morning my X family
Tunakumbushana CODE ya wiki
1. Amka mapema
2. Shukuru Mungu
3. Fanya mazoezi dk 45
4. Kunywa maji
5. Kumbuka sala fupi
Kabla ya kutoka home
6. Ingia mtaani katafute
Pesa .
Nakutakia jumanne njema
Kucheza michezo ya kupeana pesa ni dalili ya mtu kushindwa kujisimamia na kujiongoza katika suala zima la nidhamu ya fedha!
USIJIENDEKEZE JIFUNZE KUWEKA AKIBA MWENYEWE!!
Maamuzi ya waru fulani Kuondoka katika maisha yako hakuususiani na thamani yako.. Ni uamuzi wake na hisia zake sio zako. Hupaswi kujiona hufai wala kutafuta mapungufu yako. Yupo atakaeona thamani yako bila wewe kumlazimisha.
Miaka 2 iliyopita nilitoka jela. Mwaka jana nikanusurika jaribio la kuuawa na kuporwa pesa kadhaa.
Kitu pekee naweza kuwaambia ndugu zangu maisha yamenifundisha kuwa unaweza kupoteza kila kitu, lakini ukibaki na pumzi bado una nafasi ya kuanza upya.
Happy Birthday to me ๐
1+