ABC News ya Marekani imeripoti kuhusu kesi za ugaidi Tanzania…..
Hii ndio Tanzania ya Jakaya Kikwete na Samia Suluhu. Wako tayari Tanzania ipoteee na kuwa kama Sudan ila sio wao na familia zao kuachia nchi ili Watanzania wapate haki ya kuchagua bunge lao, Chama chao and most importantly rais wao….
Inabidi Watanzania muelewe kuwa nchi ipo hapa sababu watu wawili na washirika wao wanataka kuinyonya Tanzania milele.
Hii ndio Tanzania chini ya chama cha mapinduzi…….
Ahsante @HecheJohn kwa kuendelea kurisk uhai wako kwa manufaa ya nchi yetu.. Watanzania hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua. Wewe na Lissu ndio viongozi pekee Tanzania mnaostahili kuombewa na Watanzania.
https://t.co/1zFJm9z9pC
Ugandan opposition leader Kizza Besigye has been admitted to an intensive care unit (ICU) in the capital, Kampala, after collapsing and losing consciousness during his treason trial, his wife has said.
https://t.co/4eRDvZpLb8
@BBCAfrica True Champion, I'm lost of words! @_AfricanUnion is Pathetic! @jumuiya Is a gang of cronies, But truth will always prevail and justice will be served
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Afrika Kusini EFF Julius Malema amevishukia vyama tawala barani Afrika vilivyohusika na vuguvugu la uhuru ikiwemo CCM, ZANU-PF, SWAPO, FRELIMO na ANC kuwa kitakachowamaliza ni kifo cha asili ambacho hakikwepeki kwani havitaweza kujivua gamba ili kuendeleza ajenda ya ukombozi.
A country 🇹🇿 once known for its peace, unity, hospitality, and tourism is now making headlines almost daily for terrorism charges, intimidation, the erosion of human rights, and the silencing of dissent.
Since October 29, 2025, Tanzania’s international image has changed dramatically. Each new headline-from opposition leaders to youth, party officials, to citizens yaani kiholela facing terrorism charges kila mahala-continues to deepen concerns about the country’s democratic trajectory, global reputation, and security.
Nations earn respect through justice, the rule of law, and the protection of their people and fundamental freedoms-not by criminalizing dissent. Actions intended to intimidate critics are instead projecting to the world an image of a nation facing deep insecurity and instability.
Justice is the foundation of lasting peace.
https://t.co/k4nct05zhA
Leo, mzee Kiiza Besigye Kifefe, kiongozi wa chama cha upinzani nchini Uganda, amepiga makelele mahakamani hadi akapoteza fahamu.
Besigye amefanya hivi akiwa anapinga mwenendo wa kesi yake ya uhaini mahakamani ambayo imedumu kwa zaidi ya mwaka mmoja
Ifahamike, mawakili wawili wanaomtetea Besigye wameshindwa kufanya kazi hiyo baada mmoja wao, Martha Karua kuzuiwa kuingia Uganda, na wakili wake mwingine kujumuishwa kwenye kesi hiyo hiyo ya uhaini
@TheRealEkiswaga Kuna tofauti kati ya Nguvu na Ujinga @TheRealEkiswaga. Unahitajika kua mtu flani very special kufikia level ya ujinga mliofikia awamu hii. Mbaya zaidi mmetiwa upofu, machoni penu mnaona mpo sawa. Na hio ndio njia rahisi na ya haraka sana kuwafikisha kwenye anguko lenu!
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya Tsh. Milioni 172.6 katika Marathon ya kufikia Tsh. Milioni 334.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
APPRECIATION POST YA WANAHARAKATI WANAOPAMBANA INSTAGRAM NA TIKTOK!!!!
NCHI YENU IKO PROUD NA NYINYI. KUBALINI WITH PRIDE, MAJINA YOTE MNAYOPEWA NA WAUWAJI WA OCTOBER 29.
Jueni kuwa nyinyi sio wapigania haki wa kwanza kuwa demonized na serikali kama hii serikali haram, serikali ya 6 ya TANZANIA.
South Africa, activists na wadai haki waliitwa “trouble makers” na “magaidi” , Kina Mandela walikaa jela miaka karibia 30 sababu walikuwa labeled magaidi na wahalifu wanaoharibu amani ya South Africa. Mwisho wa siku gaidi wa South Africa, akawa Rais wa South Africa.
Hapa Marekani Martin Luther King alikamatwa na kufungwa mara karibia 30 ,serikali ya Marekani ikidai ni mhalifu na anataka kuharibu amani ya Marekani. Leo nchi ya Marekani ina sikukuu ya Martin Luther King day. Yule mhalifu alietaka kuchafua Amani ya Marekani leo ana sikukuu yake Marekani. Siku ya Martin Luther King Day,kila mtu serikalini anakaa nyumbani na kumkumbuka kwa kazi yake ya kudai haki ya watu weusi Marekani. Na sisi wanaharakati wa Tz kuna siku tutaheshimika, although leo sisi ni magaidi.
Tusiende mbali, kabla ya katiba mpya kupatikana Kenya, wanaodai haki na activitists waliitwa majina yooote mabaya na serikali ya Kenya, mpaka wakaitwa “‘maadui wa maendeleo”. Leo Kenya inaongoza kwa haki na demokrasia East Africa Nzima. (Though Ruto anataka kuwaletea ungese wa Samia). They are not 100% there but they are almost there.Kenya is doing better in democracy than entire East Africa or maybe entire Africa, after SA.
My point is, wanaharakati wa Tz leo tutaitwa wahalifu na magaidi ila naomba muamini kuwa mkiendelea kupigana kuna siku serikali mpya ya Tz itawavalisha medali za ushujaaa. KEEP FIGHTING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania tusikubali Lissu akae jela muda mrefu ili Tz ipate haki. This is 2026, there are way more tools and technology to help LISSU TODAY THAN THERE WAS BACK IN THE DAY TO HELP MANDELA.
TANZANIA, TUKO HAPA TULIPO ILI TU FAMILIA 2 ziendeleee kuinyonya Tanzania, FAMILIA YA KIKWETE NA FAMILIA YA SAMIA SULUHU!!! Shame on jeshi la polisi na MOMBO- (USALAMA WA TAIFA) Hivi vyombo viwili ndio vinavyoruhusu familia hizi 2 kuharibu nchi!!!!!!