Ndugu #Mhifadhi wa mamlaka ya Ngorongoro hiyo barabara kutoka Nainokanoka hadi Bulati na kuanzia mwezi 9 utengenezaji umeanza lakini hata kabla mvua haujaanza bado upitaji wake ni shida #Chukuhatua sitahiki ili utalii uweze kuwa imara @HKigwangalla@ShantyFrancis @FreddyManongi
Mh Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano @IsackKamwelwe barabara zote #Ngorongoro hazipitiki barabara kutoka karatu kwenda #Nainokanoka Ngorongoro hadi Naiyobi kutoka mto kwenda Loliondo hazipitiki kabisa naomba #Chukuhatua ili huduma za wananchi zipatikane @MagufuliJP@NCAA
Mh @WilliamOlenasha katika ziara yake jimboni akitembelea na kuonana na wananchi wa pamoja na kuwapongeza viongozi wa serikali za mitaa waliochaguliwa mwaka pamoja na kuzikiliza kero za wananchi na ku #Chukuhatua
Mh waziri wa mifugo @LuhagaM wananchi wa tarafa ya Ngorongoro wanakuhitaji ili uje kutekeleza ahadi yako ya kuwaletea katibu mkuu wizara ya Ardhi pamoja na katibu mkuu wizara ya mali asili na utalii ili kutatua kero zao Kwani ukamataji na manyanyaso bado yako pale pale
@HKigwangalla Mh waziri jamii ya kifugaji hatuli kabisa wanyama pori lakini narudia kusema wahifadhi muwe mnatoa semina za mara kwa mara kuelimisha wananchi faida za wanyama pori pamoja na sheria za hifadhi @NCAA@MagufuliJP@bunge_tz
@Nipashetz@ChademaTz@jjmnyika Kwani Tanzania nyie sii watu wazima msishiriki kabisa hata ubunge na udiwani 2020 Tanzania itazonga mbele tu bila Chadema CCM HOYEEÈEÈE
20 Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.